Wanachuo wa kike .... Je hii ni kweli?

Wanachuo wa kike .... Je hii ni kweli?

Nani kafanya utafiti huo iko wapi reference? Kiufupi sio kweli no more conversation
Maswali "nani kafanya utafiti huo na iko wapi reference" ni kwamba nawe pia huna hakika kama mie mleta bandiko .....

So no need of conclusion kwamba c kweli ..... Open your eyes and diligently follow the comments of those who have the information about it .... Hako ndo kaushauri kangu mazee
 
Ngoja Scorpion me aje atueleze kama yule boyfriend wake ni wa huko chuoni au ni wa hapa JF![emoji1]
 
East Africa Radio hizi takwimu mmezpata wap na mmetumia methods gan kupata hiz takwimu!??
Je ni Quantitative ama Qualitative???
Ikibainika nyie ndo mnajifanya kuudanganya uma tuwafanyaje
 
Miss mchokozi .... [emoji1] [emoji1] [emoji1] by the way LadyAj njooo huku ujibu
Wala si mchokozi Huo ndio ukweli haswaa, mwanamke unapokua na mahusiano na mwanaume hasa relationship inayo focus mbali unajikuta unajitwika mizigo mingi sana, unachukua nafasi ya mama yake, rafiki zake,ndugu zake,na zaidi unakua mpenzi wake! Hiyo kumpikia ni jukumu la mama yake lakini madhari umejitwika wewe basi unalibeba tu,utampikia utamfulia utamfanyia kila aina ya madoido ili akuamini kwamba you can handle him with all duties you have! Sema nini haya mambo muyafanye kimapenzi zaidi na si kukomoana au uyafanye kwa sifa, mwanaume anayekupenda pamoja na kujitolea koote huko hatokubali ufeli,atakuhimiza mambo mengi tu na kujaribu kukuonyesha maisha nje ya yeye, nashukuru nilimaliza chuo japo si kwa first class [emoji4]
 
mimi sikuwai kupika chuo nashukuru mungu !ila hukufanya poa
Kupanga ni kuchagua, kuamua ni kutekeleza, lazima tuwepo watu wa aina hii ili kuleta utofauti, niliolewa huku mwenzangu anajua radha ya chakula cha mkono wangu
 
kuna siku mpenzi wangu alilewa chuo nikaja nikaitwa na mamate wake kudeki matapishi sipendi hata kukumbuka yaani
[emoji23] [emoji23] ndo mapenzi hayo hakika, lakiza utatumika direct or indirect
 
Kupanga ni kuchagua, kuamua ni kutekeleza, lazima tuwepo watu wa aina hii ili kuleta utofauti, niliolewa huku mwenzangu anajua radha ya chakula cha mkono wangu
sikulaumu kila mtu amefanya makosa mengi .me too! ila sikupika chuo ila kitaa nilishawai kumpikia mtu sana tu hadi nikaungua
 
sikulaumu kila mtu amefanya makosa mengi .me too! ila sikupika chuo ila kitaa nilishawai kumpikia mtu sana tu hadi nikaungua
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] usinikumushe iyo kitu mama, nikikumbuka nakaaga najiuliza hivi lile jiko la mchina lililonizipukia lingeniunguza uso Leo hii huyu mtu angelikua na mimi au ndo angeniachia pale, ila ndo ivyo tunaji sacrifice sana Ni kuomba Mungu tu mama
 
wewe alikuoa?
 
Wanawake wana ubongo wa samaki uki wa set wana setika!

Hahahahaha, duh lakini tuwe makini Na Haya maneno
 
Back
Top Bottom