Nje na haya masomo ya Chuo kuna kazi ambazo huwa nazifanya ambazo huwa zinaniweka busy muda wowote ambao ninakuwa niko free.
Kama sio wazaz kulazimisha kuja Chuo nisinge kuja kabisa maana nilikuwa na uhakika wa kuingiza kipato kizuri tu kwa siku.
Kuna muda kama wa likizo na weekends ambazo huwa ni siku nzuri sana za kufanikisha hizo shughuli zangu nje na masomo.
Nahitaji kutumia pia muda wa Field kuendeleza shughuli zangu. Naombeni mwenzenu mnipe mbinu ambazo naweza kutumia kukwepa hii Field na kuutumia muda huo kuendeleza kile ambacho nina kiamini
Note: 1. Ufwatiliaji wa Field work katka hiki chuo chetu hakuna. Kwahiyo kama kutakuwa na njia yyte ya kukwepa au kuForge naombeni msaada.
Hiki ninachokisoma nikwamba nimelazimishwa tu, hakuna future yyt ninayoiona huku, so sioni umuhimu wa Field kabisa.