Habarini wana JF.
Kwanza nachukua nafasi hii kuwaombea kwa Mungu wanachuo wote wa vyuo vikuu na vyuo vingine ambao kwa sasa wengine wanafanya mitihani yao ya mwisho ya kumaliza semester hii au wanajiandaa kufanya mitihani yao.
Wito wangu kwenu ni kwamba kama wewe ambaye tayari umeanza mitihani hukuwa unajiandaa mapema na sasa ndio umeanza kujisomea wakati mitihani imeanza au ratiba imetoka itabidi utumie nguvu nyingi sana.
Chukueni tahadhari, kila mara unatakiwa usome kama vile UE ni kesho.
Hebu ona hii picha hapa chini: