Na hata umasikini utaendelea kutamalaki licha ya kuwa na rasmali tele hadi tujitambue kuweka watu wenye mawazo mapana sio hawa wachumia tumbo walio tuangusha kwa miaka yote leo wanajifanya malaikaUpinzani bado sana kwa hapa kwetu ndugu. Hawa tulionao ni wachumia tumbo tu na CCM itaendelea kuwepo sana. Mark my words. Upinzani si kutukana mkubwa wangu. Nakupa pole sana.
Leo @salaryslip kafahamu ukweli na umemuuma sana.Ni yeye yule yule ila kaufahamu ukweli
Wengine wanakujaLeo @salaryslip kafahamu ukweli na umemuuma sana.
Hapa umechemsha. Mnaua Elimu yetu. Ni kwa vipi Elimu inaendeshwa kwa kufinyanga finyanga mambo? mlianza na maabara mkafinyanga yako wapi? mkaja na walimu wa sayansi mkafinyanga yako wapi? Walimu fasta fasta mkafinyanga yako wapi? elimu bure mnafinyanga finyanga yako wapi? Sasa la madawati. Hata mabanzi yametengeneza madawati, mbao za mipapai zinatengeneza madawati nk na madawati yamefuatia musukumo kama aliokuwa nao ombaomba Matonya. Alipokuwa akiomba ukamunyima anakufuatisha matusi, alikuwa akiomba kila mtu bila kujali ni adui au rafiki yake. Nilishangaa nilipokuta Uzi ha jf ukisema Jpm amesema Wachina wana pesa nyingi tu kutukopesha. Ilikuwa baada ya kukopeshwa trillion 16. Nikajiuliza maswali. Reli no muhimu lakini Elimu no muhimu zaidi na zaidi. Kama kupanga no kuchagua kwa nini huo mkopo wote usingekopwa kuboresha Elimu? Basi labda IPO sababu, kwa nini wasikope kwa vyote maana tumeshazoea madeni? Wakati mwingine mjue hata wa vijijini wana fikiri. Kuna siku mbuzi hawa watakata kamba.Like you as well can very much talk the talk that u can never walk..
Ishi maneno yako.. weka unafiki pembeni..
Umekomaa na sukari wakati 98% ya tatizo la madawati tumeshalimaliza..
Bisha nikuitie Msigwa hapa akuthibitishie..
Mkiacha uzandiki na unafiki ipo siku kwenye siku za usoni tutavuka lengo na sukari unayoililia tutakugawia bure..
Mbona unakuwa na maneno mengi kama Ngosha?Leo @salaryslip kafahamu ukweli na umemuuma sana.
Kwan wasimskie kaongea habar ya kuuza pembe za ndovu??????Ebu nyamaza we watu wasikusikie
Punguza hasira nduguMbona unakuwa na maneno mengi kama Ngosha?
Hivi kwani ninyi mlipokua mnahubiri elimu bure mlikua mna maanisha nini??Hapa umechemsha. Mnaua Elimu yetu. Ni kwa vipi Elimu inaendeshwa kwa kufinyanga finyanga mambo? mlianza na maabara mkafinyanga yako wapi? mkaja na walimu wa sayansi mkafinyanga yako wapi? Walimu fasta fasta mkafinyanga yako wapi? elimu bure mnafinyanga finyanga yako wapi? Sasa la madawati. Hata mabanzi yametengeneza madawati, mbao za mipapai zinatengeneza madawati nk na madawati yamefuatia musukumo kama aliokuwa nao ombaomba Matonya. Alipokuwa akiomba ukamunyima anakufuatisha matusi, alikuwa akiomba kila mtu bila kujali ni adui au rafiki yake. Nilishangaa nilipokuta Uzi ha jf ukisema Jpm amesema Wachina wana pesa nyingi tu kutukopesha. Ilikuwa baada ya kukopeshwa trillion 16. Nikajiuliza maswali. Reli no muhimu lakini Elimu no muhimu zaidi na zaidi. Kama kupanga no kuchagua kwa nini huo mkopo wote usingekopwa kuboresha Elimu? Basi labda IPO sababu, kwa nini wasikope kwa vyote maana tumeshazoea madeni? Wakati mwingine mjue hata wa vijijini wana fikiri. Kuna siku mbuzi hawa watakata kamba.
zingatia maneno yanguKila mtu "mark my works"
Haya maneno hayana kiswahili chake?
Haya waacheni hao unaowaita wachumia tumbo wafanya siasa zao,Upinzani bado sana kwa hapa kwetu ndugu. Hawa tulionao ni wachumia tumbo tu na CCM itaendelea kuwepo sana. Mark my words. Upinzani si kutukana mkubwa wangu. Nakupa pole sana.
Tatizo la madawati wananchi wanatoa pesa zao mfukoni na mlitangaza elimu ni bure.Like you as well can very much talk the talk that u can never walk..
Ishi maneno yako.. weka unafiki pembeni..
Umekomaa na sukari wakati 98% ya tatizo la madawati tumeshalimaliza..
Bisha nikuitie Msigwa hapa akuthibitishie..
Mkiacha uzandiki na unafiki ipo siku kwenye siku za usoni tutavuka lengo na sukari unayoililia tutakugawia bure..
Kweli kabisa kusema traffic police apewe 5000/= ya kubrash viatu ni utoto wa hali ya juu.Kwa jinsi upinzani unavyofanya mambo ya. Kitoto bora ufutwe kabisa maana hakuna faida ya kuwepo Kwao!!
Na wao wanalijua hili,siasa gani hizi wengine wanafanya but wengine wanazuiliwa.Mkuu nakuhakikishia ata uchaguzi ufanywe kesho alafu ukawa wasifanye kampeni ccm haishindi wananchi wameshasikia Na kuelewa sasa
Hivi kuna wachumia tumbo kama ccm? Mafisadi ni wao,wala rushwa ni wao. Hadi kupitishwa uenyekiti wa mtaa wanatoa rushwa.Upinzani bado sana kwa hapa kwetu ndugu. Hawa tulionao ni wachumia tumbo tu na CCM itaendelea kuwepo sana. Mark my words. Upinzani si kutukana mkubwa wangu. Nakupa pole sana.
Sasa mjomba wewe ulitaka yafanyike mazingaombwe madawati yapatikane ama??Tatizo la madawati wananchi wanatoa pesa zao mfukoni na mlitangaza elimu ni bure.
Mtavumilia tukianza kujibu mliyoyanena jana dhidi ya upinzani?
Naukizia zile salary slip za mkulu jana zilioneshwa, au bado hakarudi dar maana alisema kupitia clouds kwamba akifika tu dar anatoa ushahidi wa mshara wakeHata iwe 2050 kwa upinzani huu CCM milele.