Wanachato huyu mama Husna Amri anawafaa, ni Halima Mdee mwingine

"Husna wa CHADEMA" bila shaka atakuwa gumzo la Tanzania nzima kuelekea Oktoba.... Tega sikio.

Vipi Kyela, hatuwezi kumpata Erythro wa CHADEMA naye akiwasha moto?

Huu moto unatakiwa uwake kila sehemu kuanzia sasa na kwenda mbele!
 
Hapo maendeleo ya chato yanaletwa na Mh.Rais.Yeye hachangii kitu zaidi ya kujifanya naye humo.
Nashukuru jimboni kwangu hakuna ujinga wa hivi.Yaani mtu vitendo havionekani jimboni ila kisa kaivimbia serikali ndo nimpe kura! Pumbavu!
Hachangii kitu kivip wakat analipa kodi, uwe na wigo mpana wa kufikir kabla haujaleta upumbavu wako
 
Mama nimemkubali sana
Mimi naamini moyoni hata Mr President anamkubali huyu mama na keshawapa warning wasimguse kwani keshapata coverage kubwa sana. Atafanya kila namna aonane nae na amuhakikishie uchaguzi utakuwa fair (matokeo tu hayatakuwa fair). Magu anapenda watu wenye msimamo mkali plus ule weupe wake basi ndio kamaliza kila kitu. Atamtangazia dau kuliko la zile Tanzanite za Mmasai! Asipofika bei atabaki kumu admire tu kwa macho!

Kitakachotikezea next: Atatokezea dada wa CCM mkoa ulio stronghold ya Chadema na yeye atajifanya ana mikwala kama ya Husna. Watch this space!
 
Back
Top Bottom