Munishi alimlilia Malebo!Mimi namlilia Halima Mdee!

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Huyu mama nimefatilia Bunge Huyu mama anafanya vizur sana ila changamoto inabikia pale tu yakuwa hauziki Tena.

Pengine watu wanaweza wasijue Mimi Kwa Nini naumia
Kiukweli Mimi niliwai kuwa mkuu wa kituo Cha uchaguzi kwenye moja ya eneo ambalo Halina alikuwa anagombea ubunge enzi hizo.

Nakumbuka nililala nje Kwa maelekezo ya Tume ya uchaguzi nikiwa nimelala uku nimekumbatia boksi la kura alikuja bwana mmoja ambae alikuwa tayari kutoa pesa ndefu nifungue boksi la kura aingize ambazo zilikuwa Tyr zimepigwa nilimkatalua yule bwana

Naomba nielezee Kwa nn nilikataa?
Kwanza wakati huo nilikuwa nagogopa labda yule bwana alikuwa ananitega.

Pili Mimi niliiomba kazi Tume ya uchaguzi kimkakati maana sisi tulikuwa tumejiunga Chadema na mlezi wetu alikuwa Halima Mdee maana Chuo chetu kilikuwa eneo lake yaani Tudarco by dhen sijui kama kipi till today.

So tuliingia Tume kimkakati kuhakikisha halima anashinda.

Kimsingi halima sijui kama anakumbuka kama watu walimpania kuupata ubunge enzi hizo.

Kimsingi Leo Huyu mama ameshusha hoja nzito hazija pata airtime nyingi kisa tu ni kuwa hauziki Tena Sasa Nini mwisho wanili maana tunao umia ni wengi .
Halima chutama mama!life liende.
 
acha uongo
 
Back
Top Bottom