haya sasa kujisifia kabla hujasifiwa, hizi ni mbio za sakafuni. Cdm haitafika kokote.
^ kila mmoja wenu anarudia neno hilo hilo la time will tell, CCM ndio BABA. CDM ni binti wa kike alie anza kubalee. 2015 mtabaki na masikitiko. Nyie endeleeni na kampeni zenu huko vijijini, mtakuja gundua kwamba vijijini ni boring na entertainment yao ndio hizo za kufurika kwenye mikutano isokua na maana.
Sawa kaka, nimeona mambo ya CDM Mbeya, endeleeni kutujuza. Zitto yeye yuko wapi?
^ kila mmoja wenu anarudia neno hilo hilo la time will tell, CCM ndio BABA. CDM ni binti wa kike alie anza kubalee. 2015 mtabaki na masikitiko. Nyie endeleeni na kampeni zenu huko vijijini, mtakuja gundua kwamba vijijini ni boring na entertainment yao ndio hizo za kufurika kwenye mikutano isokua na maana.
Ndg viongozi wa CDM mlioko sasa Mbeya,
Nimeona maandamano katika picha hapa JF yalifana saana, sasa nilipenda kujua kama mlipata idadi ya watu waliojiunga na chama ili nasi tulioko mbali tufahamu na tupongezane wote. Na je, Ratiba ya maandamano hayo kusini yakoje, naomba kujua tarehe na mahali mtakapokuwa ili tuweze kufuatilia matukio kwani jana na leo nimejaribu kuangalia media zetu sioni hata moja iliyoonesha maandamano ya Mbeya Kuna shida gani ya media zetu na CDM?
kuna topic umechangia,inaonekana ww c wa Mbeya,na wala hauko Mby,hii unasema uko Mby,2amini lipi?"Mjomba kazi mnayo!"nakushauri,UKITAKA KUWA MWONGO,USIWE MSAHAAULIFU,CDM nawasifia kwa kujipa ujiko wenyewe. Hatahivyo tupeni vigezo mnavyotumia kutamka maandamano yalifana SANA. Sie tuliepo Mbeya tuliona CDM imekusanya vijana toka maeneo ya Mbalizi, Uyole na Mwanjelwa wakiserebuka na muziki!!!
CDM Mko vizuri sana, endelezeni mapambano hawa jamaa wa kijani wacha waendelee kujivua magamba watarost tuu!!!!!!!!! Wapelekesheni wakistuka wameliwa mazima, Mbeya ni mfano hai kuleni miwa waachie makapi(Shitanda)!!!!!!! Aluta Continua, Mapambano bado yanaendelea!!!!!!!!!Jana Mh Zitto,alikuwa na mikutano mi4 ktk jimbo la mbozi mash,leo ameenda njombe pamoja na mh Mbowe msibani kwa mama Makinda,leo jioni Zitto atafanya mkutano Rujewa.
Majibu si unayo, muulize Mr Too!!!!!!!!!!!Mbeya mjini baba jimbo la CDM bado una maswali?????????^ kila mmoja wenu anarudia neno hilo hilo la time will tell, CCM ndio BABA. CDM ni binti wa kike alie anza kubalee. 2015 mtabaki na masikitiko. Nyie endeleeni na kampeni zenu huko vijijini, mtakuja gundua kwamba vijijini ni boring na entertainment yao ndio hizo za kufurika kwenye mikutano isokua na maana.
Si kweli wewe fuatilia thread hii Zito yuko live na busy na mambo ya chama front line!!!!!!!Zitto anamuhudumia mama yake kwanza...nadhani bunge likianza maza ake atakuwa keshapona na zitto atakuwa available bungeni.
CDM nawasifia kwa kujipa ujiko wenyewe. Hatahivyo tupeni vigezo mnavyotumia kutamka maandamano yalifana SANA. Sie tuliepo Mbeya tuliona CDM imekusanya vijana toka maeneo ya Mbalizi, Uyole na Mwanjelwa wakiserebuka na muziki!!!
Zitto anamuhudumia mama yake kwanza...nadhani bunge likianza maza ake atakuwa keshapona na zitto atakuwa available bungeni.
Hizo ndio sera za CCM,kwa mtindo huo wemejikuta wakianzisha kila aina ya ngonjera mara tunapiga vita mafisadi oohtunajivua magamba ooh hakuna jiwe litakaloachwa, ndio maana CCM hamna hata nguvu mukasimama kifua mbele kuwambia wananchi utumbo wa aina yeyoteLeo hii fanya mkutano kijiji chochote kile Tanzania, weka maspika makubwa halafu ungurumisha muziki, kila mwanakijiji atakuja akitegemea kupewa zawadi na ubwabwa wa bure. Hii ndio Tanzania, Hata nyie naojifanya CDM damu,ni njaa tu inawasumbua, leo hii ukidanganyiwa hela/kofia/t-shirt na ubwabwa kidogo tu basi utampondea Slaa kama huna akili nzuri..
mpaka sasa nimetembea sehemu nyingi tanzania sijaona mtu akajitokeza wazi wazi na kusema yeye ni ccm yaani akawa kifua mbele kukitetea