Mshindo
JF-Expert Member
- Mar 5, 2009
- 478
- 186
Yeah ila tofauti hapa ni kwamba
Kusoma hujui,hata picha nayo huelewi? Tukusaidiaje?
- Hawakubebwa na mafuso,walikuja wenyewe
- Hakukuwa na wacheza viduku akina marlow na bongo fleva-wachumia-matumbo bin kuchakachuliwa-hatimiliki el kufulia-mapema-kufa maskini artists waliolipwa mamilioni kutumbuiza. Hawa walikua wakiserebuka kwa nyimbo za mapinduzi wakiziimba wenyewe kwa hisia
- Haukupikwa ubwabwa kwa hisani ya Rostam Aziz,watu walikula kwao wakaenda mkutanoni
- Walikua vijana watu wazima na hawakuwa watoto wa chipukizi kama wale wapwa wa Tambwe Hiza pale karimjee.
Kusoma hujui,hata picha nayo huelewi? Tukusaidiaje?
CDM nawasifia kwa kujipa ujiko wenyewe. Hatahivyo tupeni vigezo mnavyotumia kutamka maandamano yalifana SANA. Sie tuliepo Mbeya tuliona CDM imekusanya vijana toka maeneo ya Mbalizi, Uyole na Mwanjelwa wakiserebuka na muziki!!!