Wanachama wa Simba tunapumbazwa na viongozi

Wanachama wa Simba tunapumbazwa na viongozi

Inaelekea umepitiwa mbali na elimu zote, ya ujumla na ya biashara.
Mwekezaji ni sehemu ya wamiliki.
Mdhamini anakuja kwa mmiliki kufanya biashara kwa kipindi mahususi. Mfano mzuri ni Yanga na gcm.
Gcm ni mdhamini ndio maana anaweka hela nyingi kuliko klabu ambayo ndio wamiliki, ingawa kwa ujanja amemuingiza mwajiriwa wake katika nafasi kubwa klabuni kimtindo ili afanye maamuzi kwa favour yake, kama maamuzi ya klabu kupata sh. 1,300/= tu katika kila jezi ya Yanga huku yeye akikunja zilizobaki (utaangalia mwenyewe jezi ya Yanga uliinunua sh. ngapi, toa sh. 1,300/=, zilizobaki jamaa amekunja)
GSM pale Yanga hana umiliki wa hata asilimia 1
Yanga ni timu ya Wanachama 💯
 
Uongozi wa Simba unatuona mashabiki na Wanachama wa Simba mbumbumbu kama alivotuita Rage pale kwenye ukumbi wa polisi Oystabay aliwaita Wanachama wa Simba ni mbumbumbu

Mwekezaji mkuu Mo mwenye 49% ameweka 20 billions ( hewa) miaka 10 haijawahi kuingiza kwenye account

Muuza jersey J Rutty anaweka b 38 miaka 5, na offer za uongo
Yaani j Ruty aweke mkwanja kumzidi mwekezaji mkuu
Nyie wala mihogo ndiyo mnapumbazwa na Hersi
 
Attachments

  • FB_IMG_1710347642097.jpg
    FB_IMG_1710347642097.jpg
    73.3 KB · Views: 11
  • Kicheko
Reactions: Tui
GSM pale Yanga hana umiliki wa hata asilimia 1
Yanga ni timu ya Wanachama 💯
Ndicho nilichosema. Gcm ni mdhamini na anaweka hela nyingi kuliko mmiliki (Yanga). Vivyo hivyo, Jayrutt ni mdhamini na anaweka hela nyingi kuliko mmiliki( Simba na Mo). Azam Media ni wadhamini na wanaweka hela nyingi kuliko wamiliki. Wamiliki siku zote wanajivunia asset na brand, sio fedha cash.
 
GSM ameweka kiasi kubwa kiasi gani?
Yanga inaendeshwa na Wanachama, wadhamini
GSM haiendeshi Yanga
Yupo Yanga kudhamini tu
 
GSM ameweka kiasi kubwa kiasi gani?
Yanga inaendeshwa na Wanachama, wadhamini
GSM haiendeshi Yanga
Yupo Yanga kudhamini tu
Yanga inaweza kumsajili na kumlipa Chama sh. 700M kwa mwaka mmoja tu? Inaweza kumsajili na kumlipa Aziz Ki?
Yusuph Kagoma tu 30M ziliwashinda, baadaye wakatishia kumshtaki, sijui imeishia wapi
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Hayo hayo ndiyo yaliwapandisha rank toka nafasi ya 32 hadi nafasi ya 18 sasa. Tafakari😄😄
Timu dhaifu ndo hucheza shirikisho
Timu kubwa Huwa zinacheza CAFCL

Huko Europe hutakaa uone Real Madrid, Barcelona, Bayern Munich, Liverpool wanafurahia kucheza Europa
 
Yanga inaweza kumsajili na kumlipa Chama sh. 700M kwa mwaka mmoja tu? Inaweza kumsajili na kumlipa Aziz Ki?
Yusuph Kagoma tu 30M ziliwashinda, baadaye wakatishia kumshtaki, sijui imeishia wapi
Wewe kweli ni mbumbumbu
Yanga amevuna pesa za ubingwa NBC, fa, community shield 🛡️, Yanga amevuna billion 2 za CAF
Yanga ana udhamini wa sport pesa, whizom, afya water, visit Zanzibar, nic, GSM,
Yanga ina Wanachama zaidi million 20
Bado gate collection
Bado bonuses za ubingwa
Bado mauzo ya wachezaji

Ushindwe kusajili mchezaji wa million 700

Ushind
 
Yani unauliza ziko wapi? Uwanja wa mazoezi umejenga wewe, usajili wa wachezaji umechangishwa wewe? Gharama za uendeshaji wa Club , safari , bonus, unatoa wewe?

Nyie endeleeni kubetweka hapo GSM anajitolea tu kuwasaidia kwa hiyari yake hana hisa zozote hapo utopolo, Club haina hata kiwanja cha vumbi cha kufanyia mazoezi siku akikasirika akaacha kulipa mishahara ya wachezaji hiyo Club yenu itaishia kufilisiwa na kushushwa daraja
Wewe ni mgeni hapo ukoloni? Hizo ni sandakalawe tu kama anazotoa GSM Yanga, MO hajaweka hata senti 1 ya hisa za 49, huo uwanja umesahau makolo walichangishwa? MO kila siku anasema anatoa pesa zake na anapata hasara, mtu aliyenunua hisa anatoaje tena pesa zake mfukoni na kulalamika hasara? Acha utoto
 
Wewe kweli ni mbumbumbu
Yanga amevuna pesa za ubingwa NBC, fa, community shield 🛡️, Yanga amevuna billion 2 za CAF
Yanga ana udhamini wa sport pesa, whizom, afya water, visit Zanzibar, nic, GSM,
Yanga ina Wanachama zaidi million 20
Bado gate collection
Bado bonuses za ubingwa
Bado mauzo ya wachezaji

Ushindwe kusajili mchezaji wa million 700

Ushind
Hata mwaka jana alikuwa nao hao wote. Si ulisikia bajeti ya Yanga kuwa matumizi yakawa makubwa wakapata hasara?
 
Attachments

  • Screenshot_2025-04-19-13-08-24-209_org.mozilla.firefox.jpg
    Screenshot_2025-04-19-13-08-24-209_org.mozilla.firefox.jpg
    187.5 KB · Views: 11
Wewe ni mgeni hapo ukoloni? Hizo ni sandakalawe tu kama anazotoa GSM Yanga, MO hajaweka hata senti 1 ya hisa za 49, huo uwanja umesahau makolo walichangishwa? MO kila siku anasema anatoa pesa zake na anapata hasara, mtu aliyenunua hisa anatoaje tena pesa zake mfukoni na kulalamika hasara? Acha utoto
Sasa nimeelewa kwanini uko zaidi ya miaka 10 jf ila hujapewa badge ya Platinum member, kwa akili hizi unastahili kuachwa hivyohivyo
 
Uongozi wa Simba unatuona mashabiki na Wanachama wa Simba mbumbumbu kama alivotuita Rage pale kwenye ukumbi wa polisi Oystabay aliwaita Wanachama wa Simba ni mbumbumbu

Mwekezaji mkuu Mo mwenye 49% ameweka 20 billions ( hewa) miaka 10 haijawahi kuingiza kwenye account

Muuza jersey J Rutty anaweka b 38 miaka 5, na offer za uongo
Yaani j Ruty aweke mkwanja kumzidi mwekezaji mkuu
Halafu mkataba wa Mbet mpaka keo mashabiki hatujui timu yetu ilipata shilingi ngapi! Mwenyekiti wetu Mangungu alimleta Caesar Manzoki siku ya uchaguzi, na yeye mpaka leo hatujui alipo! Tarehe 8 viongozi wetu walihamasisha kususia mechi ya derby kwa sababu zao zisizo na mashiko!

Yaani sisi mashabiki wa Simba sijui viongozi wetu wanatuonaje! Mimi kama vipi nahamia Yanga!
 
Back
Top Bottom