Wanachama wa Simba tunapumbazwa na viongozi

Ila boss unahangaika sana, mara usifie ukitaka Yanga waige, mara utoe maoni hiyo pesa ni ndogo mara useme ni uongo.

Yaani jambo moja unalitolea maoni tofauti yanayojipinga yenyewe. Ni kama ukisikia jambo chap unakuja JF kuliongelea.
Huyu ni 'attention seeker ' tu
 
Uongozi wa Simba unatuona mashabiki na Wanachama wa Simba mbumbumbu kama alivotuita Rage pale kwenye ukumbi wa polisi Oystabay aliwaita Wanachama wa Simba ni mbumbumbu

Mwekezaji mkuu Mo mwenye 49% ameweka 20 billions ( hewa) miaka 10 haijawahi kuingiza kwenye account

Muuza jersey J Rutty anaweka b 38 miaka 5, na offer za uongo
Yaani j Ruty aweke mkwanja kumzidi mwekezaji mkuu
Watajua wenyewe
Au wewe una hisa pale?
 
Mkuu sijakaza kutukana hivi ni vitu watu wanatoka navy nyumbani elimu ya utotoni sio ukubwani hata uelezejwe hauwezi kuelewa ndio maana nasema endelea mzee baba.
Hakuna sehemu Kuna tusi hapo kama wewe sio mnafiki quote ile sentence harafu onyesha tusi
 
Umempa jibu murua
Kuna watu wanarahisha sana wawe Simba au yangu ila mo ndo kaupa thamani Mpira wa bongo hata waliowekeza yanga walioangalia mo amefanya Nini na hapo ndo brand za yanga na Simba zi Kawa na thamani jezi ikawa biashara wakati kabla timu zilikuwa zinaendeshwa Kwa majungu tu na fitina
 
Uongozi wa Simba unatuona mashabiki na Wanachama wa Simba mbumbumbu kama alivotuita Rage pale kwenye ukumbi wa polisi Oystabay aliwaita Wanachama wa Simba ni mbumbumbu

Mwekezaji mkuu Mo mwenye 49% ameweka 20 billions ( hewa) miaka 10 haijawahi kuingiza kwenye account

Muuza jersey J Rutty anaweka b 38 miaka 5, na offer za uongo
Yaani j Ruty aweke mkwanja kumzidi mwekezaji mkuu
Mkuu acha kuita hayo majina. Hata sisi tuliitwa minyani, misokwe na mimbwa inayobweka weka.
 
Uongozi wa Simba unatuona mashabiki na Wanachama wa Simba mbumbumbu kama alivotuita Rage pale kwenye ukumbi wa polisi Oystabay aliwaita Wanachama wa Simba ni mbumbumbu

Mwekezaji mkuu Mo mwenye 49% ameweka 20 billions ( hewa) miaka 10 haijawahi kuingiza kwenye account

Muuza jersey J Rutty anaweka b 38 miaka 5, na offer za uongo
Yaani j Ruty aweke mkwanja kumzidi mwekezaji mkuu
We Utopolo tangu lini ukawa Simba..mwiko huu huko nyuma kama pembe la fisi..haufichiki
 
Kama mo hajawekeza pesa kwani Simba ilikuwa inaendeshwa na fedha za mama yako?
SASA hasira za nini kijana šŸ˜‚šŸ˜‚ au wewe Ndio mke wa Mo?. Mpira usiwafanye kuwaondoa kwenye akili zenu... Ukishamtukania mzazi ww unapata faida gani?. Hutaki ukweli? No alishasema anatoasaada na sio sehemu ya zile 20B.
 
Kwani tusi lipo wapi wewe choko au ndo unafosi mabwana humu
 
Uongozi wa Simba unatuona mashabiki na Wanachama wa Simba mbumbumbu kama alivotuita Rage pale kwenye ukumbi wa polisi Oystabay aliwaita Wanachama wa Simba ni mbumbumbu

Mwekezaji mkuu Mo mwenye 49% ameweka 20 billions ( hewa) miaka 10 haijawahi kuingiza kwenye account

Muuza jersey J Rutty anaweka b 38 miaka 5, na offer za uongo
Yaani j Ruty aweke mkwanja kumzidi mwekezaji mkuu
Unapumbazika mwenyewe shwain...business mind mjinga toleo la mwisho. Hiyo thank ya Simba haipandi?
 
Uongozi wa Simba unatuona mashabiki na Wanachama wa Simba mbumbumbu kama alivotuita Rage pale kwenye ukumbi wa polisi Oystabay aliwaita Wanachama wa Simba ni mbumbumbu

Mwekezaji mkuu Mo mwenye 49% ameweka 20 billions ( hewa) miaka 10 haijawahi kuingiza kwenye account

Muuza jersey J Rutty anaweka b 38 miaka 5, na offer za uongo
Yaani j Ruty aweke mkwanja kumzidi mwekezaji mkuu
Lini ulianza kuwa mshabiki wa Simba?! Bila shaka una kipele kinahitaji kukunwa.!
 
Kwasababu mama yako Kawa kama mbwa kila mtoto na baba yake unahisi inawezekana Kwa wengine?
Mama yako sindio kakuzaa wewe ambaye humjui baba yako unaweza ukawa kijana wangu.
 
Back
Top Bottom