Wanachama wa Simba tunapumbazwa na viongozi

Ila boss unahangaika sana, mara usifie ukitaka Yanga waige, mara utoe maoni hiyo pesa ni ndogo mara useme ni uongo.

Yaani jambo moja unalitolea maoni tofauti yanayojipinga yenyewe. Ni kama ukisikia jambo chap unakuja JF kuliongelea.
Mafanikio ya Simba yanawachoma Wanayanga kumoyo mkuu.
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Duh!, jamaa kiazi sana wewe. Mo kazinunua 49% miaka almost 8 iliyopita, au unadhani thamani ya hizo 49% kwa sasa still ni 20 billions?. Kweli kule kwenye mwiko nyuma wenye akili ni wawili tu
Bado timu ikaja kucheza robo final caf champion mara sita, timu kwenye ubora imeshika namba 4 africa na huenda siku za mbeleni wakapata nafas ya kushiriki club bingwa dunia. Wanadhan thaman ya Simba imesimama kama ya timu yao.
 
  • Thanks
Reactions: Tui

Juzi mada za Wana uto-polo ilikuwa ni kuondoshwa Kwa Simba kwenye mashindanonya kimataifa Leo mada imebadilika baada ya Simba kusonga mbele.
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Ziko wapi? Hahahahha kweli Rage hakukosea
Yani unauliza ziko wapi? Uwanja wa mazoezi umejenga wewe, usajili wa wachezaji umechangishwa wewe? Gharama za uendeshaji wa Club , safari , bonus, unatoa wewe?

Nyie endeleeni kubetweka hapo GSM anajitolea tu kuwasaidia kwa hiyari yake hana hisa zozote hapo utopolo, Club haina hata kiwanja cha vumbi cha kufanyia mazoezi siku akikasirika akaacha kulipa mishahara ya wachezaji hiyo Club yenu itaishia kufilisiwa na kushushwa daraja
 
Bado timu ikaja kucheza robo final caf champion mara sita, timu kwenye ubora imeshika namba 4 africa na huenda siku za mbeleni wakapata nafas ya kushiriki club bingwa dunia. Wanadhan thaman ya Simba imesimama kama ya timu yao.
tukirejealea ile kauli ya Haji Manara hatutopata shida. "wenye akili ni wawili tu"
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Ila boss unahangaika sana, mara usifie ukitaka Yanga waige, mara utoe maoni hiyo pesa ni ndogo mara useme ni uongo.

Yaani jambo moja unalitolea maoni tofauti yanayojipinga yenyewe. Ni kama ukisikia jambo chap unakuja JF kuliongelea.
Mimba changa ina madhara sana.Haishi kutapika na kutapatapa.Akijifungua ataacha mvumilie tu.Ni kama yule mrembua macho anayeitwa Mchome wanalipwa kujifanya ni wanasimba.
 
Uongozi wa Simba unatuona mashabiki na Wanachama wa Simba mbumbumbu kama alivotuita Rage pale kwenye ukumbi wa polisi Oystabay aliwaita Wanachama wa Simba ni mbumbumbu

Mwekezaji mkuu Mo mwenye 49% ameweka 20 billions ( hewa) miaka 10 haijawahi kuingiza kwenye account

Muuza jersey J Rutty anaweka b 38 miaka 5, na offer za uongo
Yaani j Ruty aweke mkwanja kumzidi mwekezaji mkuu
Hata sisi Yanga tunapumbazwa. Hivi kwa ukubwa wetu, sisi kweli klabu yetu ni ya kupewa sh. 1,300/= kwa kila jezi inayouzwa na mdhamini? Tena anayesema idadi ya jezi zilizouzwa sio klabu, ni huyo huyo mdhamini anayechukua kiasi kikubwa?
 
Duuuh 😂😃😀
 
Mimba changa ina madhara sana.Haishi kutapika na kutapatapa.Akijifungua ataacha mvumilie tu.Ni kama yule mrembua macho anayeitwa Mchome wanalipwa kujifanya ni wanasimba.
Kaaz kweli
 
Uongozi wa Simba unatuona mashabiki na Wanachama wa Simba mbumbumbu kama alivotuita Rage pale kwenye ukumbi wa polisi Oystabay aliwaita Wanachama wa Simba ni mbumbumbu

Mwekezaji mkuu Mo mwenye 49% ameweka 20 billions ( hewa) miaka 10 haijawahi kuingiza kwenye account

Muuza jersey J Rutty anaweka b 38 miaka 5, na offer za uongo
Yaani j Ruty aweke mkwanja kumzidi mwekezaji mkuu
mimi nafikiria mdhamini mkuu yupo nyuma yake kwakua hamumpi timu mazima so ameamua kuja kivingine,ule uwanja km akifanikiwa watakusanya hela nyingi mno tena sana
 
Muuza jersey J Rutty anaweka b 38 miaka 5, na offer za uongo
Yaani j Ruty aweke mkwanja kumzidi mwekezaji mkuu
Inaelekea umepitiwa mbali na elimu zote, ya ujumla na ya biashara.
Mwekezaji ni sehemu ya wamiliki.
Mdhamini anakuja kwa mmiliki kufanya biashara kwa kipindi mahususi. Mfano mzuri ni Yanga na gcm.
Gcm ni mdhamini ndio maana anaweka hela nyingi kuliko klabu ambayo ndio wamiliki, ingawa kwa ujanja amemuingiza mwajiriwa wake katika nafasi kubwa klabuni kimtindo ili afanye maamuzi kwa favour yake, kama maamuzi ya klabu kupata sh. 1,300/= tu katika kila jezi ya Yanga huku yeye akikunja zilizobaki (utaangalia mwenyewe jezi ya Yanga uliinunua sh. ngapi, toa sh. 1,300/=, zilizobaki jamaa amekunja)
 
Back
Top Bottom