MT KILIMANJARO
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 4,215
- 762
Hahahahaaaa kama vile nakuona kamanda
Tatizo vijana wa lumumba hawana akili kabisa.
Hahahahaaaa kama vile nakuona kamanda
Hao vijana Jela inawaita ..
Unaongea kama shoga
Aweda aache kuwadanganya vijana wa mbulu
Tehe tehe, CHADEMA ni wa ajabu sana, tatizo viongozi vilaza, hivi NCCR, TLP, CUF, ACT n.k wanaweza kufanya upuuzi kweli. Shule ni kitu muhimu sana, halafu jambo la ajabu utakuta wametumia wahuni tu kutekeleza uhalifu huo huku wakijua ni kosa kufanya hivyo.