Wanachama wa CHADEMA wafunga ofisi za CCM kata ya Bashnet Mbulu

Wanachama wa CHADEMA wafunga ofisi za CCM kata ya Bashnet Mbulu

unasema tu safi sana, lakini kiuhalisia hujui kuwa wamevunja sheria.

Waliovunja sheria ni CCM kwa kitendo chao cha kutumia jengo la ofisi ya serikali ya kijiji kwa shughuri zao za chama chakavu.tulishasema kuwa ccm haina ofisi bali inatumia majengo ya umma kufanyia shughuli za kisiasa na siku nchi ikikombolewa watafanyia shughuri zao chini ya miti
 
Linakombolewa kwenda wapi, WACHAGGA mbona mnajidanganya hivi?

Hizi ni dalili za mapambazuko na muda si mrefu kutakucha.endelea kuota lakini nchi ipo karibu kukombolewa na kurudi mikononi mwa wananchi
 
ndio maana.hata mbinu zenu za kutaka kuvuluga katiba mnashindwa kenge nyie chadema nitaendele kuwaita nyumbu siku zotee nikianzia nahuyo kiongozi wao gobole na nyau wengi wotee
 
Bangi bhana achaiitwe bangi maana mchana mnasema niukweli Mali Kama iliandikishwa ni ccm inabaki kuwa ni ccm tuu wala huwezi badilisha milele daima

Hakuna asieijua, hata waheshimiwa, niliwahi kumsikia Mh Lukuvi akisema "tukianza kunyosheana vidole kuhusu madawa ya kulevya, hakuna atakayesalimika humu ndani". Ndani alimaanisha bungeni. Siku nyingine nilimsikia naibu spika Mh Job Ndugai akiwalalamikia wabunge kunusa na kulamba kitu fulani kinachowafanya wachamgamke sana nyakati za mchana. Kama serikali iliyopo madarakani ingemaanisha, hili swala la bangi lisingekuwa tena issue. Unamkumbuka Mwakiyembe na mbwembwe zake pale uwanja wa ndege wa Dar es salaaam? Hakuna taarifa kuwa ile issue ilishia wapi. Mkubuke marehemu Mangwea, alikufa na ikathibitishwa ni madawa ya kulevya, cha ajabu alizikwa kwa heshima kuliko Maprofesa wa vyuo vikuu wanaotuzalishia wataalamu.
 
ndio maana.hata mbinu zenu za kutaka kuvuluga katiba mnashindwa kenge nyie chadema nitaendele kuwaita nyumbu siku zotee nikianzia nahuyo kiongozi wao gobole na nyau wengi wotee
ukoo wa panya wewe presha zitawauwa muda si mrefu...
 
ndio maana.hata mbinu zenu za kutaka kuvuluga katiba mnashindwa kenge nyie chadema nitaendele kuwaita nyumbu siku zotee nikianzia nahuyo kiongozi wao gobole na nyau wengi wotee

Hasira yote nikwakua tumeshawashtukia mkitaka kuchakachua katiba?
 
Hongereni ni suala la mda ukifika mda majimbo yote watafanya hvyo
 
ndio maana.hata mbinu zenu za kutaka kuvuluga katiba mnashindwa kenge nyie chadema nitaendele kuwaita nyumbu siku zotee nikianzia nahuyo kiongozi wao gobole na nyau wengi wotee

Hvi kuna nyumbu kama ccm ambao ni wezi majambazi vibaka mafisadi mafirauni wauaji watesaji majangili wauza sembe a.k.a madawa ya kulevya majuha intarahamwe mazuzu na wajinga chini ya uongozi wenu na Nape.
 
Hii habari imenipa faraja sanaa..... Vyote vitarudi tu... Viwanja na kila kitu mpk muhame hii nchi interahamwe nyie
 
Mimi nawaambiaga CHADEMA ni mambumbumbu mnakataa, sheria gani inawapa mamlaka ya kufunga ofisi ya CCM?

Sheria gani iliyowapa CCM kuwa hiyo ofisi ni mali, hata kama zipo hati zina uhalali gani?
 
Hvi kuna nyumbu kama ccm ambao ni wezi majambazi vibaka mafisadi mafirauni wauaji watesaji majangili wauza sembe a.k.a madawa ya kulevya majuha intarahamwe mazuzu na wajinga chini ya uongozi wenu na Nape.

Hahahahaaaa kama vile nakuona kamanda
 
Hii habari imenipa faraja sanaa..... Vyote vitarudi tu... Viwanja na kila kitu mpk muhame hii nchi interahamwe nyie

Pale moshi mjini kwenye ofice ya wilaya tumeshawapa mda wajiandae kuondoka nakama sivyo wanatakiwa waanze kulipa kodi kama wapangaji wengine. Hati ya kiwanja hawana mwenye hati ni manispaa ya moshi.
 
Back
Top Bottom