Cybercrime
JF-Expert Member
- Feb 14, 2014
- 3,246
- 1,113
Jina lako linakuelezea kinaga ubaga kuwa wewe ni nani, weka basi angalau picha ya UONGO angalau kuhalalaisha uongo wako. CCM wako smart sana, majengo yao yote yana hati miliki.
Nataman namm kuja kupiga vulugu huko ikiwezekana wanitoe meno ili niwekibogoyo nivunje record kwa kuing'oa ccm.
bashnet si ni wilaya ya babati au imekuwaje mleta mada anyway watajua sheria maadam kesi imefunguliwa
wiki ijayo ILE OFISI NDOGO LUMUMBA tunawakabidhi wamachinga , maana ni mali yao , tumegundua kule machinga complex hakuna biashara kabisa !
Hao vijana Jela inawaita ..
Hii imekaa poa sanae hii, ngoja tukamlishe ukombozi ccm hawana ofisi ,au jengo lolote halali yote wamekwiba mali ya umma.
BACK TANGANYIKA
Mimi nitatoa msaada wa kisheria popote pale, haki ya watanzania haiwezi kuchukuliwa na hao manyang'ao hiyo CCM
Safi Sana,naijua vizuri ofisi ile hata ivo ccm gains ofisi iliyojenga kwa hela zake, pale Kuna kamanda Tara hayumbishwi ngoja niende kuongeza nguvu.
UOGA ni DHAMBI MBAYA SANA .
Jengeni ofisi , msiwaonee wenzenu wa CCM wivu, Mbona CUF na NCCR wana ofisi? kazi kumuachia SLAA ruzuku anatafuna na Msumbuzi.
tunakuja kubeba na viwanja vyetu
Tatizo CHADEMA wote mlioko humu JF ni mavuvuzela tu hamna madhara kabisa kwa watanzania.
Wakuu
heshima kwenu
Wafuasi wa chama cha demekrasia na maendeleo CHADEMA Mkoani Manyara wamefunga ofisi ya Ccm kata ya Bashnet wilaya ya Mbulu kwa kile wanachodai kua hiyo ofisi ilijengwa mwaka 1989 kwa nguvu za wananchi wote na sio wana Ccm.
Walidai kua wameaamua kufunga ofisi hiyo ili iwe mali ya Serikali na sio ya Ccm.
Nimefurahishwa sana na kitendo hicho nashauri makamanda wengine waige mfano huu mzuri
Tuanze na viwanja vya mpira
#NABADOOO
SOURCE STAR TV HABARI
Nawasilisha.
kwa taarifa yako sisi ndio tunaoendesha nchi hii .
Habari hii imenikumbusha na kule Igunga wakati ule wa Uchaguzi wa Marudio tuliambiwa ile ofisi ya CCM Wilaya ni mali ya Idara ya Afya lakini wameipokonya na kuitafisha na hadi sasa hakuna aliyejitokeza kuidai.Hii imekaa poa sanae hii, ngoja tukamlishe ukombozi ccm hawana ofisi ,au jengo lolote halali yote wamekwiba mali ya umma.
BACK TANGANYIKA