Wanachama wa CHADEMA wafunga ofisi za CCM kata ya Bashnet Mbulu

Wanachama wa CHADEMA wafunga ofisi za CCM kata ya Bashnet Mbulu

Kilaza

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2013
Posts
3,324
Reaction score
1,379
Wakuu
heshima kwenu

Wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Mkoani Manyara wamefunga ofisi ya CCM kata ya Bashnet wilaya ya Mbulu kwa kile wanachodai kua hiyo ofisi ilijengwa mwaka 1989 kwa nguvu za wananchi wote na sio wana CCm.

Walidai kua wameaamua kufunga ofisi hiyo ili iwe mali ya Serikali na sio ya CCM.

Nimefurahishwa sana na kitendo hicho nashauri makamanda wengine waige mfano huu mzuri

Tuanze na viwanja vya mpira

#NABADOOO

SOURCE STAR TV HABARI

Nawasilisha.
 
Bangi bhana achaiitwe bangi maana mchana mnasema niukweli Mali Kama iliandikishwa ni ccm inabaki kuwa ni ccm tuu wala huwezi badilisha milele daima
 
Bangi bhana achaiitwe bangi maana mchana mnasema niukweli Mali Kama iliandikishwa ni ccm inabaki kuwa ni ccm tuu wala huwezi badilisha milele daima

tunakuja kubeba na viwanja vyetu
 
bashnet si ni wilaya ya babati au imekuwaje mleta mada anyway watajua sheria maadam kesi imefunguliwa
 
Hii imekaa poa sanae hii, ngoja tukamlishe ukombozi ccm hawana ofisi ,au jengo lolote halali yote wamekwiba mali ya umma.

BACK TANGANYIKA
 
Mimi nawaambiaga CHADEMA ni mambumbumbu mnakataa, sheria gani inawapa mamlaka ya kufunga ofisi ya CCM?
 
We kweli kama jina lako Kilaza ,,,sasa si bora wana ofisi nyie mngeweka frame ya duka ndio ofisi yaani ruzuku zote zile mnapanga frame za elfu30 kwa mwezi?

Sent from my iPad Air using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Nataman namm kuja kupiga vulugu huko ikiwezekana wanitoe meno ili niwekibogoyo nivunje record kwa kuing'oa ccm.
 
We kweli kama jina lako Kilaza ,,,sasa si bora wana ofisi nyie mngeweka frame ya duka ndio ofisi yaani ruzuku zote zile mnapanga frame za elfu30 kwa mwezi?

Sent from my iPad Air using JamiiForums

Tehe tehe, CHADEMA ni wa ajabu sana, tatizo viongozi vilaza, hivi NCCR, TLP, CUF, ACT n.k wanaweza kufanya upuuzi kweli. Shule ni kitu muhimu sana, halafu jambo la ajabu utakuta wametumia wahuni tu kutekeleza uhalifu huo huku wakijua ni kosa kufanya hivyo.
 
Nataman namm kuja kupiga vulugu huko ikiwezekana wanitoe meno ili niwekibogoyo nivunje record kwa kuing'oa ccm.

wewe huna tofauti na vitoto vya mbwa, vinajifanya kubweka wakati vinategemea nguvu ya mama yao.
 
Back
Top Bottom