Wanachama wa CCM mnaposhangilia ushindi mkumbuke kuwa kuna kipindi kigumu cha maisha kinakuja mbele yetu

Leo naona wazee wa mihemko wanalialia tuu...CCM ni chama kikubwa " If you can't fight them,Join THEM"

Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Tunajenga nchi hivyo ugumu wa maisha wenye matokeo maridhawa mbeleni siyo adhabu bali ni uchaguzi.

Tusipokubali kuumia leo basi wajukuu zetu wataumia na kusaga meno
 
Kipind kigum cha maisha utajisababishia Mwenyew Dingiii"" unataka CCm wakuletee chakula ndani na Ela ya matumizi wew na mkeo ndani kwako Nyambafuuuuu" pamab n uishi maisha yako Kama unaona CCM wanakukera"
 
Raha ya namba tutasoma wote ndo maana nawashangaa hawaashabiki wanaoshabikia ubakwaji wa democrasia Nchini
 
Kila kitu kitaendeshwa kwa pesa za ndani sijui mawazo ya kuwaza usaidizi mnayatoa wapi
 
Maisha magumu ni ya kwenu watoa povu maana mna miaka 5 tena mbele ya kubwabwaja mapovu kwenye mitandao
Mimi bado kijana mdogo, around 31. Nimeanza kujitegemea 2015. Nishajenga dar na nina usafiri wa uhakika. Ni mtumishi wa umma. Hivyo sina maisha magumu kivile.
Nimezungumza kwaajili ya umma wa Kitanzania
 
Mimi bado kijana mdogo, around 31. Nimeanza kujitegemea 2015. Nishajenga dar na nina usafiri wa uhakika. Ni mtumishi wa umma. Hivyo sina maisha magumu kivile.
Nimezungumza kwaajili ya umma wa Kitanzania
Kwaajili.......kwani unawalisha
 
Back
Top Bottom