Wanachama ACT- Wazalendo waanza kurudisha kadi

Wanachama ACT- Wazalendo waanza kurudisha kadi

Ujue pesa Tamu sana,Wahubiri nao huomba watu wajitokeze kujifanya wamefanyiwa miujiza..Sembuse Kadi za Chama
 
Kama ACT ina wanachama 20 wakarudisha kadi wanachama 4 na CHADEMA ina wanachama 1000 wakarudisha 23, CUF ikawa na wanachama 1000 wakarudisha wanachama 2. Hapo chama kipi kimepoteza watu wengi zaidi???? kama hujui hesabu rudi shule

Posted by: MCHUNGUZI HURU (Associate Professor)

unafikir kwa hizo kadi zilizorudishwa 24 unaweza pata ushindi kwenye hiyo Kata, huna taaruma wewe
 
Last edited by a moderator:
Kama ACT ina wanachama 20 wakarudisha kadi wanachama 4 na CHADEMA ina wanachama 1000 wakarudisha 23, CUF ikawa na wanachama 1000 wakarudisha wanachama 2. Hapo chama kipi kimepoteza watu wengi zaidi???? kama hujui hesabu rudi shule

Posted by: MCHUNGUZI HURU (Associate Professor)

Vyote vitkua vmepoteza wengi..
Kama CDM 1000...kwa idadi ya wingi wao wakapoteza idadi inayotaka kulandana na wingi wake na pia wale ACT kwa idadi yao chake ya 20 wakapoteza 4 pia watakua wamepoteza idadi kubwa vile vile...
 
Last edited by a moderator:
Katika pita pita zangu Mtandao nimeona kuna wanachama wa ACT wamerudisha KADI na kuchukua kadi za CCM. Vipi hichi chama mbona bado kichanga sana na wanachama wameanza kurudisha Kadi.

Tatizo ni nini.
attachment.php

Watanzania wengi wanaonekana kwa nje kama binadamu lkn akili zao ni sawa na panya tu,ng'ombe hivyo hawajitambui wanaakili zinazofanana na wanao watuma bungeni,hatuta likomboa taifa hili kwa kurukaruka kama mbuzi kama wafanyavyo hawa vijana akina Machali,Zit to na inasemekana ndivyo waha walivyo kukosa msimamo ndio tabia yao.
 
Chama kina cheo kinachoitwa " Kiongozi mkuu wa Chama", yaani huyo ni untouchable, utadhani ni Mungu. Hapo unategemea nini?, maana yake ni Ndio mzee
 
Acha kuwazingua watu. Hizo kadi wamezichukua wenyewe na kuzitupa hapo wakijidai ni wanachama wa vyama vyaupinzani wamerudisha. Kadi gani hata haijaingia mfukoni. Mpyaaaaaaaaa.
 
Vyote vitkua vmepoteza wengi..
Kama CDM 1000...kwa idadi ya wingi wao wakapoteza idadi inayotaka kulandana na wingi wake na pia wale ACT kwa idadi yao chake ya 20 wakapoteza 4 pia watakua wamepoteza idadi kubwa vile vile...

Teh teh.....rudi shule blaza
 
Pole ndugu yangu, siku hizi siasa zimekuwa kama mwanamke anayejiuza, usidhani kama kuna ile nidhamu tena ya wanachama kwenye chama chao. Na hili ni tatizo la maadili tu kila mahali hasa kwenye haya maeneo ambayo watu hawafungwi na sheria zozote kubaki wanachama wangalau kwa muda fulani. Wewe hujawahi kuona mwanamke anatembea na kila mwanaume? Na hao waliorudisha kadi nao ni kama wanawake makahaba, hawajali sura ya mwanaume wala sera zake bali wanaangalia pochi yake ilivyotuna. Mfano mwingine mrahisi kabisa ni watu wangapi wameshakupa namba za simu na kila siku hawaishi kubadili mara leo tigo, kesho voda, keshokutwa airtel ama kubadili namba zao za simu kienyeji bila sababu za msingi? Hapo ndio maadili yalikofikia na ni katika kila nyanja mpaka kwenye ajira kila mtu anajaribu kwenye fursa zaidi.

Kaka umesema kweli kabisa, mmong'onyoko wa maadili na kutokujitambua kwetu ndo chanzo cha haya yote, vile vile uongozi umefanywa uonekane rahisi katika zama hizi. Sijui tunaelekea wapi.
 
Watanzania ni wazuri sana wa maigizo. Hao waliorudisha kadi hapo Kikija chama kingine watarudisha za CCM walizozichukua na kuchukua za chama hicho, Kikiondoka chama hicho kikaja kingine watafanya vivyo hivyo. Itafikia mahali CCM wakirudi tena watawapa za chama kilichotangulia na kuchukua za CCM tena. Mzunguko huu unaweza endelea kadiri vyama vitakavyokuwa vikirudi tena na tena. Kweli wabongo kwa maigizo tupo chati ya juu kabisa.
 
Umeziona za ACT tu?asilimia kubwa naona hapo za Chadema.

Utasikia kila siku watu wakifanya mkutano wanadai wameiua kabisa CCM lakini CCM ikifika eneo hili mambo ndio haya.

Tanzania bado haipo tayari kuitoa CCM madarakani, kama huamini subiri ushuhudie mwezi wa 10.

Tukutane site tarehe 25/10
 
Nauliza kadi ikirudishwa inapelekwa kwenye chama husika ili walikate jina la mwanachama? Au vyama vyetu vyote ni geresha tuu
 
Katika pita pita zangu Mtandao nimeona kuna wanachama wa ACT wamerudisha KADI na kuchukua kadi za CCM. Vipi hichi chama mbona bado kichanga sana na wanachama wameanza kurudisha Kadi.

Tatizo ni nini.
attachment.php

mbona kadi zote mpya???
 
Back
Top Bottom