Gasy wa Ukweli
JF-Expert Member
- Nov 7, 2010
- 397
- 201
- Thread starter
- #41
mbona zote n mpyaaa???
Kwahiyo MKUU unataka kusema huo ni mchezo wa kuigiza hapo?
mbona zote n mpyaaa???
Nimeliongelea hapa jukwaani mara nyingi ,kwamba ACTwanakosea kutoa kadi zao hovyohovyo , wanaozichukua ni wana CCM na nikasema Kinana atazikomba zote , naamini watakuwa wameshazichukua nyingi huko songea ,Iringa,Lindi na Mtwara,kampeni zikianza mtaona viroba vya kadi za ACT-wazalendo zikichomwa hadharani, na bendera zenu . cdm walishajifunza hawatoi kadi mikutanoni kwa wanachama wa kawaida labda very special case. Ukiwaangalia waliorudisha hizo kadi ni watu wanafanana na wana CCM hawafananii upinzani walichukua tu. na ACT kwa uchanga wake wakapaza sauti ya kufyeka pori- hakuna pori ni mashamba hayo yana wenyewe. uSHAURI KWENU act ,Pokeeni kadi kutoka vyama vingine ila mhusika afuate taratibu za kiofisi.
Nimeona matangazo ya wanaotaka ubunge haya , wataingia wasaliti, watakuja kujitoa dakika ya mwisho.Hapo kuna kadi nane za ACT ni nyingi sana kwa chama kipya , angalia kadi zilizofunuliwa na nyingine mbili ziko upande wa pili
Umeziona za ACT tu?asilimia kubwa naona hapo za Chadema.
Utasikia kila siku watu wakifanya mkutano wanadai wameiua kabisa CCM lakini CCM ikifika eneo hili mambo ndio haya.
Tanzania bado haipo tayari kuitoa CCM madarakani, kama huamini subiri ushuhudie mwezi wa 10.
Katika pita pita zangu Mtandao nimeona kuna wanachama wa ACT wamerudisha KADI na kuchukua kadi za CCM. Vipi hichi chama mbona bado kichanga sana na wanachama wameanza kurudisha Kadi.
Tatizo ni nini.
![]()
True! Na unaweza kuta hao jamaa wamepitia vyama vyote vilivyosajiliwa hapa nchini. Hawajui wanataka nini.Nimeipenda hii, lakini pia usisahu kuwa wengi hawa sio malaya maana malaya ni mpaka apewe pesa bali ni makahaba tu, wanafuata mkumbo tu, ndio maana wanahama vyama kila siku, na ata kesho Chadema ikienda huko wakaaona watu wanashangilia sana kwenye mkutano basi nao watashangilia alafu watachukua kadi za Chadema, wiki ijayo Kinana akirudi watazirudisha tena na kuchukua tena za CCM.Umekuwa ni kama mchezo.
Katika pita pita zangu Mtandao nimeona kuna wanachama wa ACT wamerudisha KADI na kuchukua kadi za CCM. Vipi hichi chama mbona bado kichanga sana na wanachama wameanza kurudisha Kadi.
Tatizo ni nini.
![]()
[/QUOTE
Watanzania wengi wana mtindio wa ubongo katika masula ya kisiasa .Kesho akipita Mbowe hapo hao hao watarudisha kadi za CCM walizochukua na kupewa za Chadema na maisha yanaendelea kama kawaida
Katika pita pita zangu Mtandao nimeona kuna wanachama wa ACT wamerudisha KADI na kuchukua kadi za CCM. Vipi hichi chama mbona bado kichanga sana na wanachama wameanza kurudisha Kadi.
Tatizo ni nini.
![]()
Penye Ukweli tuuseme, nia na dhumuni la mleta mada hii ni kuonyesha kadi za Chadema sio ACT maana tunaona hadi vitabu vya Azimio la Tabora..Au nalo limerudishwa CCM!Katika pita pita zangu Mtandao nimeona kuna wanachama wa ACT wamerudisha KADI na kuchukua kadi za CCM. Vipi hichi chama mbona bado kichanga sana na wanachama wameanza kurudisha Kadi.
Tatizo ni nini.
![]()
Masonjo ni jana tu nilikuambia CCM ni mazombi ,ninyi wazalendo wengi mnakosa uzoefu wa siasa za majukwaani hapa tz mnazielewa za mitandaoni, hao watu mnaowaona kwenye mikutano ni CUF,CCM na CDM wasio na vyama wengi si wahudhuriaji mikutano-kwahiyo kushangilia nyomi mnajidanganya , nilikuambia August mziki wa CCM mtaujua na ukatili wao wa kisiasa mtauona nyie wenye siasa za" kistaarabu' ustaarabu utaisha watakapoanza kuyachoma mabendera na ma fulana ya wazalendo hadharani nyie wapeni tu madereva stendi ,bodaboda nk-chama ni taasisi
Mie na wewe hapa tupo page moja, ata wanaojaza nyomi kwenye mikutano ya Chadema nao wengi wao ni wapiga kura wazuri tu wa CCM.CCM wakiishapata mgombea urais na vyombo vyote vya habari vitakavyoanza kupamba utaona upepo utakavyogeuka na wapiga kura wa aina hii mwisho wa siku wanaishia kura CCM.
ACT ziko 4
Cdm ziko 12
Penye Ukweli tuuseme, nia na dhumuni la mleta mada hii ni kuonyesha kadi za Chadema sio ACT maana tunaona hadi vitabu vya Azimio la Tabora..Au nalo limerudishwa CCM!
Hizi kadi zilifunguliwa akaunti maalum ya kuzihifadhi....lolKadi zote mpyaa
E bana ee. Kweli huu ni usanii wa kitoto kweli kweli! Kadi zote mpyaaa!!!
Sasa mkuu wangu mtu kurudisha kadi si swala la maamuzi ya mtu alojiandikisha! Kama wewe ungekuwa na sababu za hao watu kurudisha kadi hizo ningekuelewa. Halafu kadi nyingi hapo ni za Chadema haijalishi chama kina muda gani ila wanachama mwenye kadi hizo wana muda gani toka wajiunge.Mkuu unakosea sana, Nimeshanga sana kwanini ACT chama kipya watu waanze kurudisha kadi. Pia na wewe tafakari sana.
watanzania wengi tunajiunga chama kwa Mkumbo bila kujitafakari. Pia kuna wengine wako kwenye vyama kwa masilahi Binafsi.