Wanachama ACT- Wazalendo waanza kurudisha kadi

Wanachama ACT- Wazalendo waanza kurudisha kadi

Mleta uzi ana hoja tofauti na Tittle kabisa. Kichwani mwake wala hawazi kuhusu ACT bali CDM na UKAWA.
Sioni mantiki ya yeye kuhusisha kazi za CDM na CUF taika uzi wake huku tittle yake ikisomeka wanachama wa ACT warudisha kadi na kujiunga na ccm

Mkuu nimeshanga tu kwanini ACT chama kipya hakina muda mrefu wanachama warudishe kadi mapema? Pia nimechaona wanachama wa CDM, CUF wakirudisha kadi lakini leo ndo nimekutana na ya ACT cha kipya katika siasa.
 
Kwenye heading yako ungeandika something like ''CCM yavibomoa vyama vya upinzani'' maana kwenye picha naona kuna kadi nyingi zaidi za CHADEMA, na za vyama vingine kama UDP. Inawezekana pia hizi kadi ni janja ya CCM maana zote ni mupyaaaaa kama vile zimenunuliwa jana.

Lengo hapo ni ACT chama kipya kabsa katika siasa za Tanzania.
 
Kwann wasiitwe wasaliti au mnakuwa kama ccm aliejiuzuru kwa wizi wa fedha anaitwa shujaa
 
Katika pita pita zangu Mtandao nimeona kuna wanachama wa ACT wamerudisha KADI na kuchukua kadi za CCM. Vipi hichi chama mbona bado kichanga sana na wanachama wameanza kurudisha Kadi.

Tatizo ni nini.

View attachment 263824

Source:MICHUZI BLOG: ZIARA YA KATIBU MKUU NDANI YA JIMBO LA MAGU LEO,KESHO KURINDIMA JIMBO LA NYAMAGANA JIJINI MWANZA.

Ukiona mtu anarudisha kadi ya ACT, faham the guy amekutana kipengere cha maadili ya uongozi. Chama hiki ni makini sana,kama unategemea kupata unafuu wa maisha kwa kuwaibia wananchi, ACT lazima urudishe kadi. Ni chama makini kwa watu makini.
 
Katika pita pita zangu Mtandao nimeona kuna wanachama wa ACT wamerudisha KADI na kuchukua kadi za CCM. Vipi hichi chama mbona bado kichanga sana na wanachama wameanza kurudisha Kadi.

Tatizo ni nini.
attachment.php

mbona zote n mpyaaa???
 
Umeziona za ACT tu?asilimia kubwa naona hapo za Chadema.

Utasikia kila siku watu wakifanya mkutano wanadai wameiua kabisa CCM lakini CCM ikifika eneo hili mambo ndio haya.

Tanzania bado haipo tayari kuitoa CCM madarakani, kama huamini subiri ushuhudie mwezi wa 10.
masono jamaa wana wivu sana
 
Umeziona za ACT tu?asilimia kubwa naona hapo za Chadema.

Utasikia kila siku watu wakifanya mkutano wanadai wameiua kabisa CCM lakini CCM ikifika eneo hili mambo ndio haya.

Tanzania bado haipo tayari kuitoa CCM madarakani, kama huamini subiri ushuhudie mwezi wa 10.

Mleta hoja amesema card za act,wewe unakuja na mapovu ya kuitoa ccm madarakani,tukueleweje?
 
Huo ni usanii wa CCM tangia hivyo hizo ci kadi halali, ACT ilishabadilishwa na kuwa ACT WAZALENDO, nyingi nizionazo hapo ni ACT Tanzania.
 
Katika pita pita zangu Mtandao nimeona kuna wanachama wa ACT wamerudisha KADI na kuchukua kadi za CCM. Vipi hichi chama mbona bado kichanga sana na wanachama wameanza kurudisha Kadi.

Tatizo ni nini.
attachment.php

Kamanda huo mzigo wa Chadema kadi 22 unajifanya kama hauoni unaona kadi tatu tu za ACT.

Teh teh teh.
 
Huo ni usanii wa CCM tangia hivyo hizo ci kadi halali, ACT ilishabadilishwa na kuwa ACT WAZALENDO, nyingi nizionazo hapo ni ACT Tanzania.

Jamaa wewe mkali kweli unatisha
 
Umeziona za ACT tu?asilimia kubwa naona hapo za Chadema.

Utasikia kila siku watu wakifanya mkutano wanadai wameiua kabisa CCM lakini CCM ikifika eneo hili mambo ndio haya.

Tanzania bado haipo tayari kuitoa CCM madarakani, kama huamini subiri ushuhudie mwezi wa 10.

Pole sana naona unatumia nguvu sana kupigana na ukuta
 
Katika pita pita zangu Mtandao nimeona kuna wanachama wa ACT wamerudisha KADI na kuchukua kadi za CCM. Vipi hichi chama mbona bado kichanga sana na wanachama wameanza kurudisha Kadi.

Tatizo ni nini.
attachment.php

Ndiyo safari na mziki wenye chama wameanza kudai mali yao
 
Nimeliongelea hapa jukwaani mara nyingi ,kwamba ACTwanakosea kutoa kadi zao hovyohovyo , wanaozichukua ni wana CCM na nikasema Kinana atazikomba zote , naamini watakuwa wameshazichukua nyingi huko songea ,Iringa,Lindi na Mtwara,kampeni zikianza mtaona viroba vya kadi za ACT-wazalendo zikichomwa hadharani, na bendera zenu . cdm walishajifunza hawatoi kadi mikutanoni kwa wanachama wa kawaida labda very special case. Ukiwaangalia waliorudisha hizo kadi ni watu wanafanana na wana CCM hawafananii upinzani walichukua tu. na ACT kwa uchanga wake wakapaza sauti ya kufyeka pori- hakuna pori ni mashamba hayo yana wenyewe. uSHAURI KWENU act ,Pokeeni kadi kutoka vyama vingine ila mhusika afuate taratibu za kiofisi.

Nimeona matangazo ya wanaotaka ubunge haya , wataingia wasaliti, watakuja kujitoa dakika ya mwisho.Hapo kuna kadi nane za ACT ni nyingi sana kwa chama kipya , angalia kadi zilizofunuliwa na nyingine mbili ziko upande wa pili
 
Back
Top Bottom