Gasy wa Ukweli
JF-Expert Member
- Nov 7, 2010
- 397
- 201
Hizo ni zile walizo ziiba cdm walipo vunja Ofisi ya ACT.
Ndio hivyo wanarudisha ionekane kinapendwa, kumbe walikuwa kule kule!Si mlisema ACT ni tawi la CCM? Vipi tena?
Umeziona za ACT tu?asilimia kubwa naona hapo za Chadema.
Utasikia kila siku watu wakifanya mkutano wanadai wameiua kabisa CCM lakini CCM ikifika eneo hili mambo ndio haya.
Tanzania bado haipo tayari kuitoa CCM madarakani, kama huamini subiri ushuhudie mwezi wa 10.
Umeziona za ACT tu?asilimia kubwa naona hapo za Chadema.
Utasikia kila siku watu wakifanya mkutano wanadai wameiua kabisa CCM lakini CCM ikifika eneo hili mambo ndio haya.
Tanzania bado haipo tayari kuitoa CCM madarakani, kama huamini subiri ushuhudie mwezi wa 10.
Kadi zote mpyaa
siku hizi siasa zimekuwa kama mwanamke anayejiuza, usidhani kama kuna ile nidhamu tena ya wanachama kwenye chama chao. Na hili ni tatizo la maadili tu kila mahali hasa kwenye haya maeneo ambayo watu hawafungwi na sheria zozote kubaki wanachama wangalau kwa muda fulani. Wewe hujawahi kuona mwanamke anatembea na kila mwanaume? Na hao waliorudisha kadi nao ni kama wanawake makahaba, hawajali sura ya mwanaume wala sera zake bali wanaangalia pochi yake ilivyotuna. Mfano mwingine mrahisi kabisa ni watu wangapi wameshakupa namba za simu na kila siku hawaishi kubadili mara leo tigo, kesho voda, keshokutwa airtel ama kubadili namba zao za simu kienyeji bila sababu za msingi? Hapo ndio maadili yalikofikia na ni katika kila nyanja mpaka kwenye ajira kila mtu anajaribu kwenye fursa zaidi.
Mleta uzi ana hoja tofauti na Tittle kabisa. Kichwani mwake wala hawazi kuhusu ACT bali CDM na UKAWA.Katika pita pita zangu Mtandao nimeona kuna wanachama wa ACT wamerudisha KADI na kuchukua kadi za CCM. Vipi hichi chama mbona bado kichanga sana na wanachama wameanza kurudisha Kadi.
Tatizo ni nini.
View attachment 263824
Source:MICHUZI BLOG: ZIARA YA KATIBU MKUU NDANI YA JIMBO LA MAGU LEO,KESHO KURINDIMA JIMBO LA NYAMAGANA JIJINI MWANZA.
Si mlisema ACT ni tawi la CCM? Vipi tena?