Kaitampunu
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 2,441
- 1,352
Na ni feki zote!Kadi zote mpyaa
Na ni feki zote!Kadi zote mpyaa
kadi nyingi hapo Ni za Chadema
Penye Ukweli tuuseme, nia na dhumuni la mleta mada hii ni kuonyesha kadi za Chadema sio ACT maana tunaona hadi vitabu vya Azimio la Tabora..Au nalo limerudishwa CCM!
Bora shangaa ya chama cha zamani maana mwanachama kisha jengwa kisiasa. Nimekuelewa sana, tatizo la vyama vya siasa nyumbani Uanachama ni UNAZI hivyo unachangaa mtu kuhama chama kipya kama vile mtu katoka Azam (timu mpya) kurudi Simba, lakini usishangae wanachama wa Simba kwenda Yanga.....umenipata?Hiyo sio NIA Yangu. Nimeshangaa chama kipya kwanini watu wanahama. Nimewaza kuna baadhi ya watu wanaenda kwenye vyama kwa masilahi binafsi.
Bora shangaa ya chama cha zamani maana mwanachama kisha jengwa kisiasa. Nimekuelewa sana, tatizo la vyama vya siasa nyumbani Uanachama ni UNAZI hivyo unachangaa mtu kuhama chama kipya kama vile mtu katoka Azam (timu mpya) kurudi Simba, lakini usishangae wanachama wa Simba kwenda Yanga.....umenipata?
Si mlisema ACT ni tawi la CCM? Vipi tena?
Wewe kweli mwanachama wa Chadema hata kadi zenu uzifahamu.
Umeziona za ACT tu?asilimia kubwa naona hapo za Chadema.
Utasikia kila siku watu wakifanya mkutano wanadai wameiua kabisa CCM lakini CCM ikifika eneo hili mambo ndio haya.
Tanzania bado haipo tayari kuitoa CCM madarakani, kama huamini subiri ushuhudie mwezi wa 10.
ACT wazalendo kadi 4
CHADEMA....23
CUF...2
Ulimaanisha?
Katika pita pita zangu Mtandao nimeona kuna wanachama wa ACT wamerudisha KADI na kuchukua kadi za CCM. Vipi hichi chama mbona bado kichanga sana na wanachama wameanza kurudisha Kadi.
Tatizo ni nini.
![]()
huu ni mradi wa ccm lkn mtambue kuwa mnapoteza nguvu zenu na pesa zenu kununua hivyo vipande. kwa taarifa tu.. watu wanachukua kadi upinzani na wanarudisha ccm wanapewa bahasha na kadi mpya ya ccm afu hiyo ya ccm inarudishwa upinzani haswa zaidi cdm na anapewa mpya na baada yahapo anatafuta mkutano wa mafisadi leo uko wapi akarudishe kadi apate mshiko. hii ndio style iliyopo. ccm inakula kwenu msijisifu mmevuna mamia hao mnaoona mmevuna ni makapi mabua tu hakuna mwenye kukubali kupoteza imani yake kwa cdm. mwisho wasiku mtajikuta ni wewe na katibu wako tu ndo mtakuwa mmebakia na kadi zenu za kununuaKama ACT ina wanachama 20 wakarudisha kadi wanachama 4 na CHADEMA ina wanachama 1000 wakarudisha 23, CUF ikawa na wanachama 1000 wakarudisha wanachama 2. Hapo chama kipi kimepoteza watu wengi zaidi???? kama hujui hesabu rudi shule
Posted by: MCHUNGUZI HURU (Associate Professor)
Kwenye heading yako ungeandika something like ''CCM yavibomoa vyama vya upinzani'' maana kwenye picha naona kuna kadi nyingi zaidi za CHADEMA, na za vyama vingine kama UDP. Inawezekana pia hizi kadi ni janja ya CCM maana zote ni mupyaaaaa kama vile zimenunuliwa jana.