Wanachama ACT- Wazalendo waanza kurudisha kadi

Wanachama ACT- Wazalendo waanza kurudisha kadi

Katika pita pita zangu Mtandao nimeona kuna wanachama wa ACT wamerudisha KADI na kuchukua kadi za CCM. Vipi hichi chama mbona bado kichanga sana na wanachama wameanza kurudisha Kadi.

Tatizo ni nini.
attachment.php




Agizo la Chama Tawala
 
Watanzania wengi wanaonekana kwa nje kama binadamu lkn akili zao ni sawa na panya tu,ng'ombe hivyo hawajitambui wanaakili zinazofanana na wanao watuma bungeni,hatuta likomboa taifa hili kwa kurukaruka kama mbuzi kama wafanyavyo hawa vijana akina Machali,Zit to na inasemekana ndivyo waha walivyo kukosa msimamo ndio tabia yao.

Tazama mlolongo huu: Dr Warid Amani Kaborou-Kigoma, Daniel Nsanzugwako-Kigoma, Moses Machali-Kigoma, David Kafulila-Kigoma, Zitto Kabwe-Kigoma, Juma Kaseja-Kigoma, Naseeb Abdul(Diamond Pltz)-Kigoma orodha ni ndefu wote hao wamewahi kutuhumiwa kuwa vibaraka wa kusaliti misimamo ya vyama/michezo/miziki na hata mapenzi wakituhumiwa kutumika!
 
Pole ndugu yangu, siku hizi siasa zimekuwa kama mwanamke anayejiuza, usidhani kama kuna ile nidhamu tena ya wanachama kwenye chama chao. Na hili ni tatizo la maadili tu kila mahali hasa kwenye haya maeneo ambayo watu hawafungwi na sheria zozote kubaki wanachama wangalau kwa muda fulani. Wewe hujawahi kuona mwanamke anatembea na kila mwanaume? Na hao waliorudisha kadi nao ni kama wanawake makahaba, hawajali sura ya mwanaume wala sera zake bali wanaangalia pochi yake ilivyotuna. Mfano mwingine mrahisi kabisa ni watu wangapi wameshakupa namba za simu na kila siku hawaishi kubadili mara leo tigo, kesho voda, keshokutwa airtel ama kubadili namba zao za simu kienyeji bila sababu za msingi? Hapo ndio maadili yalikofikia na ni katika kila nyanja mpaka kwenye ajira kila mtu anajaribu kwenye fursa zaidi.
Ni sawa tu na wale madiwani wa Monduli. Ama siyo mkuu?
 
Back
Top Bottom