Wanachama 1,938 wa CCM, Wenyeviti Watano wahamia CHADEMA

Wakuu Rejao anatia huruma sana,nimemetafuta na nimemkuta kwenye thread hii kule kwenye Mapenzi&Mahusiano ''Shost Mwanaume mtamu yuleeee, najilaumu kwa nini nilimdengulia muda mrefu'', Maskini Rejao
 
Majengo yote ya ccm yatarudishwa serikalini 2015

Sina haja ya kukaa ofisini tena nafungasha nikajipongeze na familia yangu sasa!. Nataka watuambie MNADA WA JENGO LA CCM Mkoa wa Arusha ni lini kwani kwa sasa halina kazi tena!!!!!! tunataka kununua kwa ajili ya kufanya ofisi zetu za CDM.
 
God ni Mungu wa kweli, na god ni mzimu kama shetani, CCM ni ile aliyoondoka nayo Mwl. Nyerere, ya sasa ni ccm- chama cha majambazi, chama cha magama, chama cha mafisadi n.k
 
Maombi ya Mh. Lema, akifunga siku zingine 7 msishangae na Nape akaomba kuja CDM
 
Kama ni kweli haya maneno na taarifa basi tunaelekea KWETU KUZURI
 
Wakuu Rejao anatia huruma sana,nimemetafuta na nimemkuta kwenye thread hii kule kwenye Mapenzi&Mahusiano ''Shost Mwanaume mtamu yuleeee, najilaumu kwa nini nilimdengulia muda mrefu'', Maskini Rejao

amekuwa hivi siku hizi..najiuliza nape amtume nani JF.
 
Wamejipima, wametafakari sasa wameamua kuchukua maamuzi magumu, Nape, Chiligati, Rejao, Ritz, MS, FF nk.... PEOPLESSSSSS!!
 
Back
Top Bottom