Wanachadema hamjachoshwa na hii too much expectation with zero strategy?

leo nipo na masela wa pandagichiza
 
mkiulizwa msitukane...jibuni
 
Kama kawaida mihemuko ndio jadi yenu
Kuna watu roho zinauma kweli kweli wakiushuhudia huu umati unaoburudika kwa wimbo wa Bob Marley & The Wailers...
Hapa ni Sokoni Obwere, Shirati Rorya!​

One Love! One Heart!
Let's get together and feel all right
Hear the children cryin' (One Love!)
Hear the children cryin' (One Heart!)
Sayin': give thanks and praise to the Lord and I will feel all right
Sayin': let's get together and feel all right. Wo wo-wo wo-wo!​
 
Mihemko yao itatulizwa October 28, yaani kura kwa JPM zitakuwa ni za kutosha.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Kuna watu roho zinauma kweli kweli wakiushuhudia huu umati unaoburudika kwa wimbo wa Bob Marley & The Wailers...
Hapa ni Sokoni Obwere, Shirati Rorya!​

View attachment 1600649
One Love! One Heart!
Let's get together and feel all right
Hear the children cryin' (One Love!)
Hear the children cryin' (One Heart!)
Sayin': give thanks and praise to the Lord and I will feel all right
Sayin': let's get together and feel all right. Wo wo-wo wo-wo!​
Sasa wasubirie WanaCCM watakavyoshangweka
 
Jimbo la Hai
  1. Saashisha Mafuwe wa CCM............ 89,786
  2. Freeman A. Mbowe (CHADEMA)... 27,684
Jimbo la Mbeya Mjini
  1. Dkt. Tulia Ackson, kupitia CCM...... 75,225
  2. Joseph Mbilinyi (Sugu) Chadema... 37,591
Kwa mwendo huu ushindi wa 100% kwa Wabunge unawezekana. Magufuli atakuwa amefanikiwa sana katika ndoto yake!

Magufuli-for-life.jpg

Lowassa aliyewapa ile kiki amerudi CCM
 
Nawakumbusha tu kuwa Ushindi ni magoli yawe ya kichwa au kisigino yote hufungwa kwa ustadi mkubwa na mafundi wa kufunga yaani Top Scorer!

Nawakumbusha kuwa ushindi katika mechi ni mpango wa muda mrefu na usajili unaofanyika chini ya jopo la benchi la ufundi ...na ikumbukwe kuwa usajili hufanyika kabla ya mashindano na sio siku moja au mbili kabla ya mashindano.

Maandalizi ya mechi hufanyika mapema sana ili kujihakikishia ushindi.

Kamwe Ushindi hauji kwa kukurupuka...au kuokoteza mastriker wa mechi za mchangani.

Vivyo hivyo ushindi haujawahi kuletwa na loosers so never invest on looser halafu uxpect kushinda.

Mwaka 2015 Chadema iliwekeza kwa looser mmoja kutoka CCM na mkatuaminisha na picha za mafuriko kuwa ati ushindi utapatikana asubuhi saa nne.

Sasa kwa mara nyingine tena mnawekeza kwa "once a looser" na mnataka kuwaaminisha wananchi eti mtashinda hili game!!Shame on you and your strategy team kama ipo.

Maswali muhimu....

Je CCM ilivyoamua "kununua" kama mlivyozoea kusema wagombea wenu wa udiwani na kuwarudisha kugombea kwa tiketi zinazouza za chanikiwiti ilikuwa haijajipanga?

Baada ya CCM kufanikiwa katika zoezi hilo lililowagusa madiwani wenu katika ngome zenu kwa asilimia 99 na hatimaye kuanza kunyemelea ubunge je ilikuwa haijajipanga?

Je kuna mwananchi atakubali kuwekeza kwa wagombea wenu ambao potentially wako sokoni kila kukicha??

Nawaasa kushughulikia tatizo kubwa zaidi ndani ya chama yaani usaliti kabla ya kuongeza idadi yawasaliti halafu mnabaki kutulilia kila kukicha.

Naendelea kuwashauri kuwa mnapoweka "Too much " expectations muandae na madawa ya kushusha presha na misongo ya mawazo...yaani muandae na madaktari wa kutibu post trauma Stress Disorders .

CCM iliyo adilifu ,mpya na moja ni kali zaidi ya barca ya kina messi na Iniesta !!

Nawatakia jumapili njema kutokea Kutokea Manyanya nikielekea ufipa kwa kazi maalumu!

KWAIYO ULITAKA TUANDAMANE KIAZI KWELI WEW
 
Jimbo la Hai
  1. Saashisha Mafuwe wa CCM............ 89,786
  2. Freeman A. Mbowe (CHADEMA)... 27,684
Jimbo la Mbeya Mjini
  1. Dkt. Tulia Ackson, kupitia CCM...... 75,225
  2. Joseph Mbilinyi (Sugu) Chadema... 37,591
Kwa mwendo huu ushindi wa 100% kwa Wabunge unawezekana. Magufuli atakuwa amefanikiwa sana katika ndoto yake!
Ongeza Moshi Mjini na Njombe Mjini
 
Nawakumbusha tu kuwa Ushindi ni magoli yawe ya kichwa au kisigino yote hufungwa kwa ustadi mkubwa na mafundi wa kufunga yaani Top Scorer!

Nawakumbusha kuwa ushindi katika mechi ni mpango wa muda mrefu na usajili unaofanyika chini ya jopo la benchi la ufundi ...na ikumbukwe kuwa usajili hufanyika kabla ya mashindano na sio siku moja au mbili kabla ya mashindano.

Maandalizi ya mechi hufanyika mapema sana ili kujihakikishia ushindi.

Kamwe Ushindi hauji kwa kukurupuka...au kuokoteza mastriker wa mechi za mchangani.

Vivyo hivyo ushindi haujawahi kuletwa na loosers so never invest on looser halafu uxpect kushinda.

Mwaka 2015 Chadema iliwekeza kwa looser mmoja kutoka CCM na mkatuaminisha na picha za mafuriko kuwa ati ushindi utapatikana asubuhi saa nne.

Sasa kwa mara nyingine tena mnawekeza kwa "once a looser" na mnataka kuwaaminisha wananchi eti mtashinda hili game!!Shame on you and your strategy team kama ipo.

Maswali muhimu....

Je CCM ilivyoamua "kununua" kama mlivyozoea kusema wagombea wenu wa udiwani na kuwarudisha kugombea kwa tiketi zinazouza za chanikiwiti ilikuwa haijajipanga?

Baada ya CCM kufanikiwa katika zoezi hilo lililowagusa madiwani wenu katika ngome zenu kwa asilimia 99 na hatimaye kuanza kunyemelea ubunge je ilikuwa haijajipanga?

Je kuna mwananchi atakubali kuwekeza kwa wagombea wenu ambao potentially wako sokoni kila kukicha??

Nawaasa kushughulikia tatizo kubwa zaidi ndani ya chama yaani usaliti kabla ya kuongeza idadi yawasaliti halafu mnabaki kutulilia kila kukicha.

Naendelea kuwashauri kuwa mnapoweka "Too much " expectations muandae na madawa ya kushusha presha na misongo ya mawazo...yaani muandae na madaktari wa kutibu post trauma Stress Disorders .

CCM iliyo adilifu ,mpya na moja ni kali zaidi ya barca ya kina messi na Iniesta !!

Nawatakia jumapili njema kutokea Kutokea Manyanya nikielekea ufipa kwa kazi maalumu!
Hongera
Ila haujadhinda kihalali.
Ni haramu wewe
 
Halafu eti wanahamasisha maandamano. Mwananchi ambaye hakuwa tayari kujitokeza kukupigia kura halafu awe tayari kuandamana kwa ajili yako kisha avunjwe miguu.
Nghatele fijo!
 
Je nasi kijani hatujachoka na U turn kutafuta mwelekeo mpya baada ya kuupoteza uelekeo sahihi.
 
Halafu eti wanahamasisha maandamano. Mwananchi ambaye hakuwa tayari kujitokeza kukupigia kura halafu awe tayari kuandamana kwa ajili yako kisha avunjwe miguu.
Nghatele fijo!
Hebu waacheni, kipigo cha manyanyaso cha uchaguzi mkuu 2020 bado maumivu hayajaisha.

MAGUFULI, POLE POLE, BASHIRU, CHALAMILA, ALI HAPI, GWAJIMA, SAA SISHA, GAMBO OYEEEEEE! ! ! !

Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom