Wanachadema hamjachoshwa na hii too much expectation with zero strategy?

Kwa jinsi UFIPA walivyo na makengeza hawawezi kuona ulichokiandika. Siku matokeo yakisomwa uyasikia mara tume sio huru mara polisi wamefanya hivi. Naungana nawe kuwashauri wajisafishe kuanzia kwa DJ then warudi kwenye grassroots wa revamp mfumo wao wa kiuongozi kwa maana ya kupata the competently elected leaders na sio kuokoteza wapiga kelele mitaani. Kichapo cha Siha na Kinondoni kitawatoa rasmi barabarani
Tatizo ni wabishi kama mjusi aina ya Kenge
 
Bora ccm ilivyokua angalau inashindana kwa haki au hata kama wizi wa kificho kwa kutumia political loop holes kuliko ccm hii inayoiba Mchana kweupe
Huku ni kuutafuta uasi wa umma au vinginevyo
 
Umma we

Umma upi mlionao kwa sasa?CCM inakubalika na umma ndio maana inashinda
 
Nawakumbusha tu kuwa Ushindi ni magoli yawe ya kichwa au kisigino yote hufungwa kwa ustadi mkubwa na mafundi wa kufunga yaani Top Scorer!

Nawakumbusha kuwa ushindi katika mechi ni mpango wa muda mrefu na usajili unaofanyika chini ya jopo la benchi la ufundi ...na ikumbukwe kuwa usajili hufanyika kabla ya mashindano na sio siku moja au mbili kabla ya mashindano.

Maandalizi ya mechi hufanyika mapema sana ili kujihakikishia ushindi.

Kamwe Ushindi hauji kwa kukurupuka...au kuokoteza mastriker wa mechi za mchangani.

Vivyo hivyo ushindi haujawahi kuletwa na loosers so never invest on looser halafu uxpect kushinda.

Mwaka 2015 Chadema iliwekeza kwa looser mmoja kutoka CCM na mkatuaminisha na picha za mafuriko kuwa ati ushindi utapatikana asubuhi saa nne.

Sasa kwa mara nyingine tena mnawekeza kwa "once a looser" na mnataka kuwaaminisha wananchi eti mtashinda hili game!!Shame on you and your strategy team kama ipo.

Maswali muhimu....

Je CCM ilivyoamua "kununua" kama mlivyozoea kusema wagombea wenu wa udiwani na kuwarudisha kugombea kwa tiketi zinazouza za chanikiwiti ilikuwa haijajipanga?

Baada ya CCM kufanikiwa katika zoezi hilo lililowagusa madiwani wenu katika ngome zenu kwa asilimia 99 na hatimaye kuanza kunyemelea ubunge je ilikuwa haijajipanga?

Je kuna mwananchi atakubali kuwekeza kwa wagombea wenu ambao potentially wako sokoni kila kukicha??

Nawaasa kushughulikia tatizo kubwa zaidi ndani ya chama yaani usaliti kabla ya kuongeza idadi yawasaliti halafu mnabaki kutulilia kila kukicha.

Naendelea kuwashauri kuwa mnapoweka "Too much " expectations muandae na madawa ya kushusha presha na misongo ya mawazo...yaani muandae na madaktari wa kutibu post trauma Stress Disorders .

CCM iliyo adilifu ,mpya na moja ni kali zaidi ya barca ya kina messi na Iniesta !!

Nawatakia jumapili njema kutokea Kutokea Manyanya nikielekea ufipa kwa kazi maalumu!
Nini faida ya kuichagua ccm kwenye ngazi ya ubunge???

Ninachojua mimi ni kuwa ujinga wa watanzania ndio ushindi wa ccm.

Kama kweli watanzania tungekua serious na tunaojielewa, tungeweka wabunge wengi wa upinzani ili wakaisimamie serikali ambayo ingekua na hofu ya kuachia utawala baada ya kuharibu

Kwakua sisi wananchi ni wapumbavu na malofa kwa hisani ya mh mstaafu, tunadhani kuchagua wabunge wa ccm ndo kupata maendeleo wakati kazi yao ni kujipendekeza ili wasikose nafasi za uongozi.

Nitazidi kusema kuwa, ili kupata maendeleo ya kweli kwa nchi zetu hizi, ni lazima kuwe na ushindani wa kweli ambao ungeweza kuletwa na wananchi wenyewe
 
Unataka wananchi wachague wabunge wa upinzani ambao kazi yao ni kuhudhuria mazishi ya mbwa?
 
Hata siku moja usiwaite au kudhania wananchi ni wajinga...hilo ni kosa kubwa kisiasa
Mimi sio mwanasiasa. Mimi ni mtanzania wa kawaida ninayependa kuiona tanzania yangu ikipiga hatua
 
Tanzania haiwezi kupiga hatua ukiwa na wanasiasa walioingia kwenye siasa kwa umaarufu wa kuwa maDJ.
Tanzania itaendelezwa na viongozi makini chini ya sera bora za Chama haswa Chama cha Mapinduzi kwani huko kwengineko wamebakia wachumia tumbo,wauza ngada,mafisadi,wachungaji feki na majambazi ya zamani.
 
Hakuna kazi nyepesi kama kuyaongoza machadema,huwa hafikirii wala kuuliza wao wanaunga tela tu.
Kama wangeendelea na mgomo,aibu hii isingewakumba,sasa watawasahaulisha wafuasi kwa kifo cha msichana
 
Tanzania haiwezi kupiga hatua ukiwa na wanasiasa walioingia kwenye siasa kwa umaarufu wa kuwa maDJ.
Tanzania itaendelezwa na viongozi makini chini ya sera bora za Chama haswa Chama cha Mapinduzi kwani huko kwengineko wamebakia wachumia tumbo,wauza ngada,mafisadi,wachungaji feki na majambazi ya zamani.
Nimekuelewa mkuu
 
Bora ccm ilivyokua angalau inashindana kwa haki au hata kama wizi wa kificho kwa kutumia political loop holes kuliko ccm hii inayoiba Mchana kweupe
Huku ni kuutafuta uasi wa umma au vinginevyo
Labda uasi wa ufipani hamna Mwananchi ambae yuko tayari kusimama na watu ambao wanaonekana wanatapatapa tu sa hv Chadema imebaki ngonjera tu
 
Nimesema uasi wa umma sio wa chadema au cuf ......kitaalamu ukifanya political instruments zikakosa nguvu ...unazalisha insurgency , hiyo sio principle yangu bali ni principle za peace and strategics studies.....
Kwa sasa wanachama wa vyama wote wamekata tamaa wakiwamo sehemu kubwa tu ya wanachama wa ccm .....ina maana tuko kwenye hali ambayo kichaa yeyote akija na solution nje ya mfumo wa kisiasa atapata kuungwa mkono ...
Na kumbuka mass action sio lazima ihusishe watu wote milioni 58 kwenye nchi bali hata watu 1,000 tu wakianza wanaweza kutuyumbisha , naomba ieleweke kuwa hapa siongei siasa bali naongea hali halisi , Huyu Rais atatuzalishia uasi muda sio mrefu na hatutaki kujeuka loughing stock kwenye ukanda huu.

Najua kuna watu wa Intelligence humu , wafanye observation ya mijadala mitaani ,mitandaoni au mtu mmoja mmoja ....watu wamekosa imani na viongozi wa kisiaasa which is very dangerous ...
Maongezi yanayoongelewa kwenye vikundi vidogo vidogo mitaani hayana ishara nzuri ,nafikiri naeleweka .
Hata mwaka 1983/84 kwa waliokuwa tayari vijana wanakumbuka kulikuwa na fununu fununu hivi zinazagaaa...tofauti tu ni kuwa Mwalimu pamoja na ugumu wa maisha alikuwa anapendwa na kuaminiwa na wananchi ,wanajeshi na wengine sasa unapokuta hadi walio kwenye system wananungunika you have to be very alert !!!
 
Umma we

Umma upi mlionao kwa sasa?CCM inakubalika na umma ndio maana inashinda

Mimi siongei kama ngumbaru naongea kama mbobezi hutaki acha !!!!! walevi wote wa madaraka huwa wanasema wanakubalika hadi watu wenye hasira wakiwa mlangoni au getini huamini kuwa hawawezi kuwafanya kitu , ni kiburi cha kidikteta........Mobutu alikaa Ikulu hadi wananchi na askari walipofika geti la ikulu ndio akakimbizwa kuvuka mto Congo kwa kutumia geti la nyuma
Vile vile Gaddafi alikua akiamini kuwa kila kitu kiko sawa hadi vurugu zilipoingia Mji mkuu wake , aliendelea kutoa ile hotuba yake ya mwisho [nzuri sana na yenye hisia kali]....laiti angechukua hiyo hatua mara tu baada ya Miserata kutekwa pengine ingesaidia .....lakini alikuwa akiamini hao watu ni Panya na Mende tu hawawezi kumfanya kitu ...sadly he passed on ..
Tunavyotoa ushauri unbiased halafu mtu anakuja na mambo ya vyama hapa inaboa ....this counry will go down kama tutaendelea na hiki kiburi !!

Mfumo pekee ambao unaweza kufanya nchi kuwa salama ni kuachia democratic machineries zifanye kazi ili kila mwenye malalamiko yake ajue ana mahali pakuongelea ....nchi zote zilizofanya kiburi zilianguka ikiwemo Libya ambako wananchi wanajuta lakini wanasema Baba yako Gaddafi aliwapa kila kitu lakini aliwanyima kuongea ikawa kosa lake ...
Kuongea ni mfumo wa kuondoa stress , kama ambavyo mwili unatoa jasho ,unakojoa au kwenda haja kubwa ..Akili nayo inatakiwa kupumua kupitia mdomo ....na kama ukifunga mdomo unaweza kufa kwa ajili ya stress tu , na ukizibwa mdomo pia unaweza kufanya kitendo kibaya ......
 
Nawakumbusha tu kuwa Ushindi ni magoli yawe ya kichwa au kisigino yote hufungwa kwa ustadi mkubwa na mafundi wa kufunga yaani Top Scorer!

Nawakumbusha kuwa ushindi katika mechi ni mpango wa muda mrefu na usajili unaofanyika chini ya jopo la benchi la ufundi ...na ikumbukwe kuwa usajili hufanyika kabla ya mashindano na sio siku moja au mbili kabla ya mashindano.

Maandalizi ya mechi hufanyika mapema sana ili kujihakikishia ushindi.

Kamwe Ushindi hauji kwa kukurupuka...au kuokoteza mastriker wa mechi za mchangani.

Vivyo hivyo ushindi haujawahi kuletwa na loosers so never invest on looser halafu uxpect kushinda.

Mwaka 2015 Chadema iliwekeza kwa looser mmoja kutoka CCM na mkatuaminisha na picha za mafuriko kuwa ati ushindi utapatikana asubuhi saa nne.

Sasa kwa mara nyingine tena mnawekeza kwa "once a looser" na mnataka kuwaaminisha wananchi eti mtashinda hili game!!Shame on you and your strategy team kama ipo.

Maswali muhimu....

Je CCM ilivyoamua "kununua" kama mlivyozoea kusema wagombea wenu wa udiwani na kuwarudisha kugombea kwa tiketi zinazouza za chanikiwiti ilikuwa haijajipanga?

Baada ya CCM kufanikiwa katika zoezi hilo lililowagusa madiwani wenu katika ngome zenu kwa asilimia 99 na hatimaye kuanza kunyemelea ubunge je ilikuwa haijajipanga?

Je kuna mwananchi atakubali kuwekeza kwa wagombea wenu ambao potentially wako sokoni kila kukicha??

Nawaasa kushughulikia tatizo kubwa zaidi ndani ya chama yaani usaliti kabla ya kuongeza idadi yawasaliti halafu mnabaki kutulilia kila kukicha.

Naendelea kuwashauri kuwa mnapoweka "Too much " expectations muandae na madawa ya kushusha presha na misongo ya mawazo...yaani muandae na madaktari wa kutibu post trauma Stress Disorders .

CCM iliyo adilifu ,mpya na moja ni kali zaidi ya barca ya kina messi na Iniesta !!

Nawatakia jumapili njema kutokea Kutokea Manyanya nikielekea ufipa kwa kazi maalumu!
WEWE binafsi ulishafanikiwa yote uliyowahi kuyapanga/kutamani?
N.a. uliyoshindwa ilishatumia hizo mbinu za kutulizavmaumivu ya kushindwavkwako?

Maisha ni mapambano,ukijikwaa unanyanyuka,unajipangusa na unasonga mbele.
 
Mimi siongei kama ngumbaru naongea kama mbobezi hutaki acha !!!!! walevi wote wa madaraka huwa wanasema wanakubalika hadi watu wenye hasira wakiwa mlangoni au getini huamini kuwa hawawezi kuwafanya kitu , ni kiburi cha kidikteta........Mobutu alikaa Ikulu hadi wananchi na askari walipofika geti la ikulu ndio akakimbizwa kuvuka mto Congo kwa kutumia geti la nyuma
Vile vile Gaddafi alikua akiamini kuwa kila kitu kiko sawa hadi vurugu zilipoingia Mji mkuu wake , aliendelea kutoa ile hotuba yake ya mwisho [nzuri sana na yenye hisia kali]....laiti angechukua hiyo hatua mara tu baada ya Miserata kutekwa pengine ingesaidia .....lakini alikuwa akiamini hao watu ni Panya na Mende tu hawawezi kumfanya kitu ...sadly he passed on ..
Tunavyotoa ushauri unbiased halafu mtu anakuja na mambo ya vyama hapa inaboa ....this counry will go down kama tutaendelea na hiki kiburi !!

Mfumo pekee ambao unaweza kufanya nchi kuwa salama ni kuachia democratic machineries zifanye kazi ili kila mwenye malalamiko yake ajue ana mahali pakuongelea ....nchi zote zilizofanya kiburi zilianguka ikiwemo Libya ambako wananchi wanajuta lakini wanasema Baba yako Gaddafi aliwapa kila kitu lakini aliwanyima kuongea ikawa kosa lake ...
Kuongea ni mfumo wa kuondoa stress , kama ambavyo mwili unatoa jasho ,unakojoa au kwenda haja kubwa ..Akili nayo inatakiwa kupumua kupitia mdomo ....na kama ukifunga mdomo unaweza kufa kwa ajili ya stress tu , na ukizibwa mdomo pia unaweza kufanya kitendo kibaya ......
Kikwete aliwaacha mja*&$mbe nyie mkaamua kumuharishia....aliwaacha mkojoe mkamrushia mkojo usoni...
Mlimuita JK ni dhaifu leo hii mnamuita Magufuli dikteta.

Hivi kuna mlevi wa madaraka kama Mbowe?
Alibadili katiba ya Chadema ili aendelee kuwa Mwenyekiti...aliwafukuza kina Zitto kisa tu uwenyekiti bila kusahau figisu figisu dhidi ya Wangwe.Huyo ndio mlevi wa madaraka ambaye akiwa pamoja na wewe mbobezi wa kumshabikia mnatuaminisha kuwa mnaijua demokrasia...so sad ...!

Ccm ndio yenye dola na umma kwa sasa...yaani CCM ikiamua kuwaingiza wanachama na wafuasi wake barabarani hata kwa showoff tu hakutakalika.

Hata mimi natoa ushauri unbiased ila wewe umeamua kuungalia kwa jicho biased
 
WEWE binafsi ulishafanikiwa yote uliyowahi kuyapanga/kutamani?
N.a. uliyoshindwa ilishatumia hizo mbinu za kutulizavmaumivu ya kushindwavkwako?

Maisha ni mapambano,ukijikwaa unanyanyuka,unajipangusa na unasonga mbele.
Mnaposhindwa mkubali kushindwa,mjitathmini na mjipange sio kuililia NEC kwani kazi ya NEC sio kuwaonea huruma ni kusimamia uchaguzi.
 
Back
Top Bottom