isidingo 1961
Senior Member
- Nov 9, 2015
- 106
- 13
Yametimia Dr. Masaburi amekiri kuwa CCM inaendesha siasa za Maji taka kwa wanachama wake. Pamoja Na ukongwe wa chama hicho bado siasa zake ni za kupakana matope. Masaburi amewalaumu wanaCCM wenzake kwa kuwasingizia wagombea kuwa wagonjwa, mafisadi n.k.
Tunapenda kumkumbusha Masaburi hizo ndio siasa za CCM siasa za Hovyo hazina Sera Matusi Kuwasingizia uongo wagombea Unafiki Na kila aina ya siasa chafu. Hata Rostam Aziz aliwahi kuachana Na siasa za Tanzania Na kuziita "SIASA UCHWARA"