Ndugu zangu wapinzani uchaguzi umeisha na DR Magufuli ndiyo Rais wa Tanzania yatupasa sote tumuunge mkono katika kuijenga Tanzania Mpya; Kuendelee kuipinga serikali ya Dr Magufuli kutawaporomosha kabisa katika medani za siasa za Tanzania na kuonekana kama watu wa hovyo kabisa katika taifa wenye nia ya kutetea maovu na ufisadi.
ndugu zangu wapinzani ni muda muafaka wa kuachana na siasa uchwara bali mjikite katika kujenga nchi kwa pamoja mnamengi ambayo mnatakiwa kuishauri serikali kwa manufaa ya umma na sio kwa manufaa ya CCM wala UKAWA.
Kumpinga Dr Magufuli katika kuijenga Tanzania mpya kutahatarisha uhai wenu kisiasa kwani Rais ana nia ya dhati ya kuijenga Tanzania mpya ambayo nyie wapinzani hasa chadema mmekuwa mnaililia miaka mingi iliyopita.
Kama wapinzani wenye nia ya dhati ya kuijenga Tanzania karibuni Tuijenge NChi yeti ili Chadema/Ukawa na DR Magufuli na Serikali yake mkumbukwe na Watanzania
Rais Dr Magufuli ameshafungua milango ya mashirikiano ya kuijenga Tanzania mpya tuitakayo karibuni tuijenge na kuilinda.
Tunakaribisha mawazo yenye tija ya kuijenga Tanzania yetu kiuchumi na kufikia katika uchumi wa kati wa viwanda ewe Mwana Ukawa/CCM tupilia mbali siasa na wekeza mawazo yako katika uchumi.
Ndugu wanasiasa yapo mengi ya kufanya zaidi ya siasa za kupakana matope, tuwekeze akili zetu katika siasa za kujenga uchumi wa Tanzania Mpya