St Lunatics
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 6,644
- 11,195
Masaburi huyu huyu aliyesema watu wanatumia makalio kufikiri ???
Duh! nomaaaaa
Masaburi huyu huyu aliyesema watu wanatumia makalio kufikiri ???
ngoja niiulize akili yangu kama itakubali kuamini taarifa hii!! ntarudi. vipi mkuu unaharisha? Ni mara ya pili sasa unatoka.
Siasa za nchi hii ni za kuchafuana si CCM wala upinzani sema uchaguzi huu jamaa walikuwa na kimeo so wakalazimika ku-mute tu na kujidai wana siasa safi.
Ha ha ha nimecheka sana hivi masaburi wakati anaendesha siasa chafu zidi ya ukawa alidhani anahati miliki ccm?
Sasa ndo ajue kuwa mwosha huoshwa analakujifunza hapo na kuna mapopoma wengine humu ndani pia wamekuwa mstari wa mbele shangilia upuuzi unaofanywa na jeshi la polisi kupitia viongozi aina ya akina masaburi wasijue ipo siku yatawafika wao na kipimo hiki hiki wanachowapimia wenzao ambao wananyanyasika nao watapimiwa.
Ni swala la muda tu
Mimi kutokuwahi kuwa mjumbe siyo sababu ya kutokuwepo mawaziri vimeo.Halafu wenye dharau ni hao walio zunguka nchi nzima kwa miaka saba wakiutangazia umma ukimeo wa jamaa.Au walikuwa hawajui kama alikuwa waziri? Acha unafiki.Hamwezi kukimbia kivuli chenu...you've to pay the price..Huyo unayemwita kimeo aliwahi kuwa waziri na waziri mkuu, wewe na dharau zako hata mjumbe wa nyumba kumi hujawahi kuchaguliwa.
Yametimia Dr. Masaburi amekiri kuwa CCM inaendesha siasa za Maji taka kwa wanachama wake. Pamoja Na ukongwe wa chama hicho bado siasa zake ni za kupakana matope. Masaburi amewalaumu wanaCCM wenzake kwa kuwasingizia wagombea kuwa wagonjwa, mafisadi n.k.Tunapenda kumkumbusha Masaburi hizo ndio siasa za CCM siasa za Hovyo hazina Sera Matusi Kuwasingizia uongo wagombea Unafiki Na kila aina ya siasa chafu. Hata Rostam Aziz aliwahi kuachana Na siasa za Tanzania Na kuziita "SIASA UCHWARA"
Lofa mwingine akiwa kwenye ubora wake,hivyo vifo na CCM ni wapi na wapi,au ndio kufikiri kwa kutumia masaburiNitaichukia CCM hadi dakika yangu ya mwisho...... Tutakukumbuka Daima kamanda Mawazo & Mohamedi Mtoi. Nyie hamkufa
Masaburi ana PHD ya nini?