Tee Bag
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 7,220
- 5,626
Ha ha ha nimecheka sana hivi masaburi wakati anaendesha siasa chafu zidi ya ukawa alidhani anahati miliki ccm?
Sasa ndo ajue kuwa mwosha huoshwa analakujifunza hapo an kuna mapopoma wengine humu ndani pia wamekuwa mstari wa mbele shangilia upuuzi unaofanywa na jeshi la polisi kupitia viongozi aina ya akina wasijue ipo siku yatawafika wao na kipimo hiki hiki wanachowapimia wenzao ambao wananyanyasika nao watapimiwa.
Ni swala la muda tu
cc FaizaFoxy , jingalao
Last edited by a moderator: