Wanabidii na Email zao

Wanabidii na Email zao

Buswelu

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2007
Posts
1,998
Reaction score
357
Kama utumaji wa email hawa jamaa wanangoza...Tena wengine wanatumia email za company mtu anaandika page hata tatu..Unajiuliza anafanya kazi saa ngapi!! Then how wanakuwa na access za email za watu...huyu mwenye wanabidii anaweza ku hack email za watu unajikuta tu ameshakutumia..then zinaanza email kama mia kwa siku.

Unajiuliza anafanya kazi saa ngapi...si ndio hawa unakuta kwenye meza kajaza file kibao zinatakiwa kuwa attended wanasema boss yuko busy...nchi inakuwa slow katika kutembea...Kama mtu kwenye company domain, na email ya company...facility za company unakaa kwa siku unaandika page kama nne..kuhusu siasa za nchi hiii...

Dah...naweza kujitoa kwenye wanajamii..
 
Kama utumaji wa email hawa jamaa wanangoza...Tena wengine wanatumia email za company mtu anaandika page hata tatu..Unajiuliza anafanya kazi saa ngapi!!Then hiw wanakuwa na access za email za watu...huyu mwenye wanabidii anaweza ku hack email za watu unajikuta tu ameshakutumia..then zinaanza email kama mia kwa siku.

Unajilizana nafanya kazi saa ngapi...si ndio hawa unakuta kwenye meza kajaza file kibao zinatakiwa kuwa attended wanasema boss yuko busy...nchi inakuwa slow katika kutembea...Kama mtu kwenye company domain ,na email ya company...facility za company unakaa kwa siku unaandika page kama nne..kuhusu siasa za nchi hiii...

Dah...naweza kujitoa kwenye wanajamii..

Wewe hapa JF unafanya nini na mda huu ni mda wakazi? hauoni kuwa na wewe huna tofauti na hao unaowasema?
 
Na wewe huu ukurasa ulioandika umeandika usiku au??

Dah Kumbe na uku mpo....Jamani kila sehemu mpo...kweli mna bidiii..wengine uku usiku...basi muwe mnafanya kazi kwenye maofi kama wale watumishi wa NGO..Mnatumia na email za office kabisa kufanya mambo ya kisiasa.Ntawataja...waone.
 
Hujui JF ni ant stress?? nikielemewa na mzigo wa kazi nacheki JF kuna nini then napiga mzigo kama kawa na kazi hazilali hata siku moja.

Lazima uje kubalance mda, pengine anatumia muda wa free kuandika siasa bloguni?
 
Umesha wahi kuwa hacked na wanabidii wewe...na uko window ya outlook open?Sijasema JF...Ebana JF mambo yote...Wanabii ni siasa siasa siasa...siasa na kwa sababu kule mnajuana kwa majini basi kuwa watu kwa kuwa Dr.Flan or mkugenzi wa kakitenge flan basi wengine kwake si watu...basi vurugu tu vuruguuu....Omba request wanabidii uone sasa .... na watu wajavyojigamba.
 
ushauri wako ni nini?

Kwa kuangalia tu naona ni watu ambao katika taifa,company zao wana majukumu makubwa sana....kwa mfano mtu wa NSSF,Stanbic,Citybank.Watu hawa ukiangalia na title zao ni watu wazito hata kuwaona ni appoitment..lakini muda mwingi wa majuku yao wanautumia kujibishana mail na wakuu wenzao na vijana wengine ambao wana access na email mtu anaandika kama page mbili mail kila siku laba kuelezea ubovu wa tanzania...niambie ni muda gani anatumia kuhudumia wateja..hawa watu ndio unakuta ana ka desk pale hawezi sign kitu immedately mpaka viwe vingi...yaani ukiritiba tu..kumbe mtu yuko busy na Wanajamiii.
 
tehetehe... no comment
 
Wanabidii, ni google group ambayo inaongoza kwa kuwa na wanachama wengi makini na wasomi, na mijadala inayo endelea kule ni makini kwa mtu ambaye amezoea midhaa ya JF kule hawezi kuwepo maana hatatoka kapa au kujiona hana pwaya kuwa kule....
 
Unafanya nini uku kwenye mizaa Kyoma?
 
Wanabidii, ni google group ambayo inaongoza kwa kuwa na wanachama wengi makini na wasomi, na mijadala inayo endelea kule ni makini kwa mtu ambaye amezoea midhaa ya JF kule hawezi kuwepo maana hatatoka kapa au kujiona hana pwaya kuwa kule....

sijawahi kuwasikia inabidi nikawacheki..
 
Back
Top Bottom