Wanaanga Wanne Watua Duniani Baada ya Siku 167 Angani..

nani alikuwa anawapikia huko angani, walikuwa wanakunya wapi huko angani. walienda kufanya nn huko angani? wamegundua nn kwa fauda ya dunia?
 
Hata watanzania kibao wachawi huwa wanaenda anga za juu kwa kutumia ungo

Sema tu vyombo vyetu vya habari huwa haviandiki
 
nani alikuwa anawapikia huko angani, walikuwa wanakunya wapi huko angani. walienda kufanya nn huko angani? wamegundua nn kwa fauda ya dunia?
Hamna chochote wanachoenda kufanya huko zaidi ya kupokea wageni ambao sio rafiki kwa binadamu.
 
Hapo awali, Mungu alimuumba mtu mkamilifu, mwenye uwezo wote. Mwanadamu akaanguka kutoka katika utukufu ambao Mungu alimuweka. Anguko hili lilimfanya mwanadamu aanze kuzitumia na kuzitegema akili zake. Watu tulipaswa kuyafanya hayo yote bila kulazimika kutumia akili. Ilikuwa ni swala la kuwaza tu, kisha inakuwa! Tusingekuwa "limited" na space, time and energy. Tusingejisifia akili, hata kidogo! Tusingewasifu wazungu hata kidogo! Maana hili ni anguko. Ujisifie anguko????

Laiti tungeweza kurudi katika hali aliyokuwa nayo Adamu kabla ya anguko, ungeshangaa sana! Kila kitu kingewezekana kwa urahisi wa ajabu sana. KILA KITU!.


YESU NI MWOKOZI.
 
Daaaa kwa hiyo walikua Wana kunya uko au vipi! Mbona hayakudondoka Sasa...
 
Waafrica tunaweza kufanya zaidi ya hao wazungu, tatizo tunqbabiana sisi kwa sisi , mtu ajitokeze tu aunde kitu cha kupaa juu uone mtu atakavyo washiwa moto anataka kulipua nchi, au kuongozi wa magaidi, nk

Lakini hayo yote mtu tu kama wewe au mimi alikaa akabuni , kitu kikaundwa test ikafanyika na pengine wakati kinatestiwa mwanzo kiligoma kuruka au kulivunjika lakini kwakua lengo lilikuwa kufanya kitu na sio kukata tamaa basi watu wanaboresha na hatimaye tunapata watu kama hao nakuwapa sifa leo ,
 
Back
Top Bottom