Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,037
- 168,676
Last edited by a moderator:
hahahaaaaaaa!!hii kali mi thithemi lol!!
PL hapo kwenye huo wimbo wake mie hoi jamani........
Au ndo yule alijiliza yanga ilivyofungwa
siku akihojiwa na clouds fm alisema
alipewa hela nyingi sana kutokana na kujiliza huko.
Yeye anaomba yanga isifunge ili awe analia aweze kupoozwa.
Mjini kweli ni shule.