Wana Yanga Shalulile kaja kuwaharibia timu

Mpira hautaki kuongea kwa hisia zako hauna fact za kumkataa Shalulile na pia hata hujui history yake umekula maharage yako unaamua kuanzisha uzi..
Wewe ndo unaongea kwa mihemuko
Sasa mtu anaingia uwanjani anakuwa mshauri wa kila mchezaji...
Kawa kocha?
 
Umeanza kufatilia mpira juzi mpira wa sasa hivi mnaongea ili nifunge nipe pasi za namna hii kwa wachezaji wageni kama sio wageni wanajuana hawaongei kitu mazee upo wapi mbona umelala sana..
 
Yeye kaja kufunga kwa hiyo anataka viungo wake wampe pasi za mazingira gani kutokana na aina ya ukabaji wa mabeki forward yeyote asieongea hawezi kufunga muda mwingine wanatumia ishara za mikono weka mpira pale au anashika kichwa piga krossi ya kichwa..
 
Sijaelewa hata umeandika nini
 
Yeye kaja kufunga kwa hiyo anataka viungo wake wampe pasi za mazingira gani kutokana na aina ya ukabaji wa mabeki forward yeyote asieongea hawezi kufunga muda mwingine wanatumia ishara za mikono weka mpira pale au anashika kichwa piga krossi ya kichwa..
Ahaa kwa hiyo kwenye mazoezi hawa kuongea eti?
 
Namleta kwenu Benzema. [emoji23][emoji23][emoji23]
1786354617052.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23] poleee mwayaa, inauma eeeh??
Mimi kama mwana simba mstaafu ni najua tambo za wanasimba kujifariji huku wakiwa wanasubiri dozi yao kesho kutwa
 
Back
Top Bottom