Shekh sharif vs pastor wa loliondo......

kipindupindu

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2010
Posts
1,054
Reaction score
170
Wadau mnaokumbuka yale maajabu ya shekh sharif yule mtoto miaka ya tisini mtaweza kutoa mlinganisho yakinifu na huyu pastor aliyejitokeza huko loliondo.

Isije ikawa huyu ni yule yule mtoto sasa amekua,karudi kuwa mkirsto na anaendeleza maajabu yake.
 
shekhe ni shekhe na pastor ni pastor.....vitu viwili tofauti.....nadhani umenielewa
 
shekh shariff alikuja hivi hivi lakini sasa hivi kimyaa!sielewi kwa nini watanzania wanashindwa kuelewa.
 
Sheikh sharif ni sheikh na wa loliondo ni pastor,sheikh sharif yupo nikijana wa miaka 18,na pastor wa loliondo ana miaka zaid ya 45 ni tofauti kabisaaa.
 
shekh shariff mbona hasiskiki tena?siamini kama yupo na kama yupo basi ana uhusiano mkubwa na huyu pastor wa loliondo.
 
Preta majibu yako mazuri kama hako kademu kenye avatar yako. Sheikh Sharifu alikuwa anatumia majini na huyu anatumia miti shamba. Sharrif ni Sheikh na yule ni pastor.
 
mkuu hapo kwenye nyekundu una uthibitisho?wote wnatumia imani =mungu.
 
loliondo ni mchungaji anayetegemea nguvu za mungu kama musa jangwani alivyoambiwa na mungu atengeneze nyoka wa shaba yeyote atakaeng'atwa na nyoka akiangalia atapona shehe yeye aliongoza kwa kunukuu quran
 
thanks mkuu kwa kujaribu kuelezea.lakini unaonaje muitikio wa watu kwa shekh shariff na huyu pastor huoni kama hawa watu wawili ni common kabisa?
 
thanks mkuu kwa kujaribu kuelezea.lakini unaonaje muitikio wa watu kwa shekh yahya na huyu pastor huoni kama hawa watu wawili ni common kabisa?

ni watu wawili common lakini kila mtu na ucommon wake........tofauti na mwingine
 
Hivi jamani mi kweli hata mi hawa watu wa miujiza nawashangaaga kuwa kama kweli wametokewa na maajabu mbona hawadumu nayo hayo maajabu ili Watanzania wakapata sifa ulimwenguni???
 
haya mambo huletwa sana na matapeli wa Nigeria!
 
Hivi jamani mi kweli hata mi hawa watu wa miujiza nawashangaaga kuwa kama kweli wametokewa na maajabu mbona hawadumu nayo hayo maajabu ili Watanzania wakapata sifa ulimwenguni???

Kwa sababu ni maajabu! Sifa kuu ya maajabu ni kudum kwa mda mfupi tu! Baada ya hapo si maajabu tena kwani watu wataona kawaida tu!
 
Back
Top Bottom