Wana Simba njooni tujadili

Mnakumbuka tulisajiri kipa kutoka America kusini ligi daraja la nne, uto na viongozi wao waliongea sana hatimaye akaenguliwa.

Wenzetu wapo vizuri kwenye kutumia udhaifu wa mpinzani, ila kwetu hatupo hivyo utakuta tunajipa lawama wenyewe kuwa ni uzembe wetu, na sipingi hilo.

Nini namaanisha, ni hili jambo la Yanga kumchezesha mchezaji asiyethibitishwa, mbona TFF hawamtaji na kanuni hazifuatwi.

Tupo baridi na msemaji wetu kujifanya msema ukweli, kuwa timu yetu mbovu, ubovu tulio nao umesababishwa na Simba wenyewe.

Ila hili jambo la Yanga kama hawalioni, ila ingekuwa ndio Simba imefanya hivyo basi hakika tungekoma sana.

Juzi hapa Yanga waliishurutisha Azam media kufuta taarifa za Mayele alizosema Yanga. Unaona kabisa wenzetu hawapo tayari kuchafuliwa hata kidogo ila sisi tupo baridi.

Najua mtakuja kusema mpira ni dakika 90 na ndio zinaongea lakini tukumbuke hiyo nayo ni kanuni, na bila kanuni kila mtu atafanya anachotaka.

Ni mawazo yangu tu.

#Sina Imani na viongozi wa Simba akiwemo Ahmed ally
Kwanza kabla ya kuanza kutaka point za mezani naomba unieleweshe hapa.
Ni kwamba kwenye barua ya TFF wamesema kuwa Yanga wamekiuka katika FIFA’s Regulations on the Status and Transfer of Players (“RSTP”)
Na kosa lao ni kutoingiza uthibitisho wa malipo wa mchezaji husika kwenye system (TMS)
Je RSTP ni nini? Sheria yake ipoje?
Je mchezaji asiyekamilishiwa kuingiziwa taarifa ya malipo kwenye RSTP anakuwa ni mchezaji halali au sio mchezaji halali?
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.

2. Mbumbumbu SC.

3. Mipang'ang'a SC.

4. Malalamiko SC.

5. Makelele SC.

6. Madunduka SC.

7. Mikia SC.

8. Mazumbukuku SC.

9. Manyaunyau (mapaka) SC.

10. Manyang'au SC.

11. Miso Misondo SC.

12. Mwakarobo SC.

13. Mazombi SC.

14. Kolokhamsa SC.

15. Kolowizards SC.

16. Kinyume nyume SC.

17. Zuwena SC.

18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.

19. Bahasha SC.

20. Ngada SC.

21. Kufa Kiume SC.

22. Masandakolozidad SC.

23. 5imba SC.
View attachment 2981167View attachment 2981169
images (1).jpeg

Nyie utopolo ni watumwa wa Mwarabu kaeni kimia
 
Mnakumbuka tulisajiri kipa kutoka America kusini ligi daraja la nne, uto na viongozi wao waliongea sana hatimaye akaenguliwa.

Wenzetu wapo vizuri kwenye kutumia udhaifu wa mpinzani, ila kwetu hatupo hivyo utakuta tunajipa lawama wenyewe kuwa ni uzembe wetu, na sipingi hilo.

Nini namaanisha, ni hili jambo la Yanga kumchezesha mchezaji asiyethibitishwa, mbona TFF hawamtaji na kanuni hazifuatwi.

Tupo baridi na msemaji wetu kujifanya msema ukweli, kuwa timu yetu mbovu, ubovu tulio nao umesababishwa na Simba wenyewe.

Ila hili jambo la Yanga kama hawalioni, ila ingekuwa ndio Simba imefanya hivyo basi hakika tungekoma sana.

Juzi hapa Yanga waliishurutisha Azam media kufuta taarifa za Mayele alizosema Yanga. Unaona kabisa wenzetu hawapo tayari kuchafuliwa hata kidogo ila sisi tupo baridi.

Najua mtakuja kusema mpira ni dakika 90 na ndio zinaongea lakini tukumbuke hiyo nayo ni kanuni, na bila kanuni kila mtu atafanya anachotaka.

Ni mawazo yangu tu.

#Sina Imani na viongozi wa Simba akiwemo Ahmed ally
Upo sahihi kabisa, hasa nikikumbuka sakata la SIMBA na KIBUBU DENIS. wakati KIBU DENIS anataka kusajiliwa na SIMBA wana YANGA waliibuka na hoja kuwa KIBU siyo Mtanzania hivyo akisajiliwa atakuwa international player. Lengo lilikuwa ni kupunguza nguvu ya SIMBA ktk usajili kwa wachezaji wa kigeni.

Hatmaye serikali iliamua kuingilia kati na kumpa uraia wa kujiandikisha (citizenship by registration) na hii ilifanywa na serikali ili kuepuka kufungiwa na FIFA na CAF maan tayari KIBU alikuwa ameishaichezea nchi ktk mashindano ya kimataifa km Mtanzania. Hivyo serikali kukaa kimya ilikuwa ni hatari kuliko neno lenyewe.

Hawa SIMBA wasipokuwa na akili ya kimpira, yani fitina za mpira basi wamekwisha.
 
Kwanza kabla ya kuanza kutaka point za mezani naomba unieleweshe hapa.
Ni kwamba kwenye barua ya TFF wamesema kuwa Yanga wamekiuka katika FIFA’s Regulations on the Status and Transfer of Players (“RSTP”)
Na kosa lao ni kutoingiza uthibitisho wa malipo wa mchezaji husika kwenye system (TMS)
Je RSTP ni nini? Sheria yake ipoje?
Je mchezaji asiyekamilishiwa kuingiziwa taarifa ya malipo kwenye RSTP anakuwa ni mchezaji halali au sio mchezaji halali?
Kabla ya yote kwanini TFF hawamtaji huyo mchezaji ?
 
Wewe umeleta uzi hapa unahoji kukatwa point kwa Yanga kama vile unajua sheria kuliko hao FIFA.
Kutajwa mchezaji hakutasaidia kitu kama vipengele vilivyowekwa kwenye barua hauvijui.

Ili uzi wako ili uwe valid, unatakiwa utoe ufafanuzi juu ya kanuni na sheria ya RSTP ili kuonesha uhalali wa Yanga kukatwa point.

Ndio maana huko juu nikakuuliza yale maswali.
 
Huyo ni mbumbumbu tu usipoteze mda wako
 
Wewe umeleta uzi hapa unahoji kukatwa point kwa Yanga kama vile unajua sheria kuliko hao FIFA.
Kutajwa mchezaji hakutasaidia kitu kama vipengele vilivyowekwa kwenye barua hauvijui.

Ili uzi wako ili uwe valid, unatakiwa utoe ufafanuzi juu ya kanuni na sheria ya RSTP ili kuonesha uhalali wa Yanga kukatwa point.

Ndio maana huko juu nikakuuliza yale maswali.
Ni quote wapi nimesema kukatwa kwa point ? Mbona unaniwekea maneno ? Haya sasa nitakujibu ila niambie ni mchezaji gani huyo ?
 
Hoja yangu ni mpira unachezwa hadharani sio mdomoni kama unavyofanya wewe
Kwani nani kakwambia unachezwa gizani ? Mpira una sheria zake na zinatakiwa kufuatwa na sio kisa kuchezwa hadharani basi hizo sheria zisifuatwe
 
Ni quote wapi nimesema kukatwa kwa point ? Mbona unaniwekea maneno ? Haya sasa nitakujibu ila niambie ni mchezaji gani huyo ?
Uliposema TFF hawafuati kanuni, je ulitaka ni kipi TFF wafanye zaidi ya hicho walichofanya kuwafungia Yanga usajili?
Ndio ujibu kwanza nilichokuuliza, wewe si ndiye ulianza kuleta uzi wa kujifanya unajua vifungu, utaratibu, sheria, na kanuni za soka kuliko TFF na FIFA. Tupe elimu kuhusu sheria ya RSTP
 
Wamtaje huyo mchezaji, simple tu yasiwe mambo mengi, alafu mengine yafuaye
 
Tatizo Simba haina viongozi au Ina viongozi mamluki, mfano utaona yanga wanaprint mabango na kuweka logo ya Simba ambayo imesajiliwa kihalali, umeshasikia tamko lolote toka kwa viongozi wa Simba.
Kuna mechi ya Simba na yanga Chama na Aziz K walitegeana kuingia uwanjani na kupeana mikono wakafungiwa mechi tatu lakini mechi moja kabla ya Simba kucheza na yangaMdathiri na mchezaji wa timu pinzani walirudia tukio lilelile wakatozea faini ili mradi Mdathiri asiadhibiwe na kukosa mechi ya Simba ulisikia kauli yoyote kwa viongozi wa Simba .
Msimu iliyopita Simba ilitoka Morocco. Kucheza na wydad ijumaa jumanne wakasafiri kucheza na Namungo wakati jumapili wakapangiwa kucheza na Azam shirikisho wakatolewa. Mechi na Namungo wachezaji ilibidi baadhi wapumzishwe lakini hakuna kauli yoyote ya viongozi waliyotoa.
Simba waliotoka kucheza ijumaa na Al ahly jumanne wakaenda Kigoma kucheza na mashujaa wakatolewa ulisikia kauli ya viongozi kulalamika kuhusu ratiba.
Wa kulaumiwa siyo Tff Bali ni wanachama wanaochagua viongozi mamluki na wanasiasa wasiojua kitu.
 
Hakuna ulijualo, nikajua unachokiandika ukielewa vizuri kumbe ni sifuri tu unaendeshwa na mihemko ya kiusimba usimba kutafuta pakujifutia machozi hata kwa nje ya uwanja. Kama huyo mchezaji ni wa msimu huu, maanake hata CAF champions league ameshiriki hivyo kama ingekuwa ni ishu kubwa basi huyo angekuwa disqualified kucheza CAF champions league kwasababu vigezo vya CAF kumfanya mchezaji kuwa halali wasingefikia. Hivyo hadi CAF champions league kama kashiriki maanake vipengele vilivyokiukwa havimfanyi asiwe mchezaji halali wa Yanga.
 
Uko sahihi kabisa
 
Kwanza kabla ya kuanza kutaka point za mezani naomba unieleweshe hapa.
Ni kwamba kwenye barua ya TFF wamesema kuwa Yanga wamekiuka katika FIFA’s Regulations on the Status and Transfer of Players (“RSTP”)
Na kosa lao ni kutoingiza uthibitisho wa malipo wa mchezaji husika kwenye system (TMS)
Je RSTP ni nini? Sheria yake ipoje?
Je mchezaji asiyekamilishiwa kuingiziwa taarifa ya malipo kwenye RSTP anakuwa ni mchezaji halali au sio mchezaji halali?

Hakuna ulijualo, nikajua unachokiandika ukielewa vizuri kumbe ni sifuri tu unaendeshwa na mihemko ya kiusimba usimba kutafuta pakujifutia machozi hata kwa nje ya uwanja. Kama huyo mchezaji ni wa msimu huu, maanake hata CAF champions league ameshiriki hivyo kama ingekuwa ni ishu kubwa basi huyo angekuwa disqualified kucheza CAF champions league kwasababu vigezo vya CAF kumfanya mchezaji kuwa halali wasingefikia. Hivyo hadi CAF champions league kama kashiriki maanake vipengele vilivyokiukwa havimfanyi asiwe mchezaji halali wa Yanga.
Shida unajiona una jua sana nimekuona toka mwanzo na matango yako sikutaka tuingie kiundani.

Haya twende sasa, ikiwa TFF wamekiri kuwa Yanga wameshindwa kuthibitisha risiti ya malipo, nini kinafuta ?

Turudi sasa kwenye sheria za FIFA na TFF. Screenshot_20240505-144103.png
Haya sasa maana ake mchezaji haruhusiwi kucheza, sasa hatujui ni mchezaji gani huyo kama amecheza mechi hata moja maana ake ni kosa.

Haya tuje sasa kwenye TFF

Screenshot_20240505-115720.png

Niishie hapa
 
Msimu iliyopita Simba ilitoka Morocco. Kucheza na wydad ijumaa jumanne wakasafiri kucheza na Namungo wakati jumapili wakapangiwa kucheza na Azam shirikisho wakatolewa. Mechi na Namungo wachezaji ilibidi baadhi wapumzishwe lakini hakuna kauli yoyote ya viongozi waliyotoa.
Simba waliotoka kucheza ijumaa na Al ahly jumanne wakaenda Kigoma kucheza na mashujaa wakatolewa ulisikia kauli ya viongozi kulalamika kuhusu ratiba.
Wa kulaumiwa siyo Tff Bali ni wanachama wanaochagua viongozi mamluki na wanasiasa wasiojua kitu.

Mmegeuka kuwa walalamikaji wa nje ya uwanja wakati ukweli unaonekana wazi Simba imeshuka ubora na wengine wanahisi ni mwekezaji na wengine ni wachezaji wengine ni wakina Try again kuwa ni sababu. Hili mnalolifanya saivi ndivyo itaendelea kuifanya Yanga wachukue utawala wenu. Msimu uliopita ilikuwa hivyo hamtaki kuamini mmeshuka bali mliamini Yanga inabebwa, Yanga wana honga, Yanga inaroga. Lakini hao wakacheza final, msimu huu hao wakacheza robo fainali na ndivyo wanazidi kupiga hatua.

Leo umesahau kuwa mlikuwa kwenye bonanza uturuki lakini mkapelekewa mechi mbele kisa tu mpo kwenye bonanza?
Leo umesahau kurushwa rushwa kwa mechi dhidi ya Azam mara kwa mara kutokana na timu yenu kutokuwa sawa?
Hiyo ratiba ya ligi ya msimu huu hakuna timu iliyobebwa kama Simba na ndio maana hadi sasa ndiyo timu iliyokuwa nyuma kwa michezo wakati wote Simba na Yanga zimecheza klabu bingwa na kuishia hatua sawa
 
Back
Top Bottom