kuzeeshana au kuzeeka pamoja?
Wewe kweli mnyamwezi...full ubishi...
kuzeeshwa ni sawa na kusema 'kufujwa'..
Kama wewe huwa unajiuliza 'will i be loving him the same way hapo baadae'
inaionesha doubts ulizonazo
na mostly the answer is no....
Maana yangu ni kuwa, "tunapenda kutendewa kuliko kutenda, kupendwa kuliko kupenda, kupewa kuliko kupewa". So kama una uhakika na pendo lako kwake, then sawa; lkn kama una wasi wasi na pendo lake kwako wakati wewe hutimizi wajibu wa kumpenda, that is selfishness!
sawa tu?why is that?
naamini he will be loving me the way he love me now till that moment nikiwa kibibi!
Sadness is atakuwepo au nitakuwepo nitakapozeeka au atakapozeeka!
mwenzenu huwa sitaki kufikiria iwapo kuna siku haya maisha tunayoishi kuna mmoja
atamuacha mwenzie!
katika vitu nawishi ni kuzeeka pamoja nae ili kama tulivouona utoto pamoja,ujana pamoja,utu uzima pamoja na uzee tuuone pamoja!
hili la je atanipenda until tht day!I KNOW HE WILL!BECAUSE HE WAS AND HE IS LOVING ME!
as long as asijue kuna wanafunzi wanapewa darasa lol
as long as asijue kuna wanafunzi wanapewa darasa lol
hebu kumbuka uliona wapi?