Namba hizo zilizobandikwa ni za Clouds FM, lakini pia twaweza kujipanga sisi kama sisi tukakabidhi michango yetu kama wana www.jamiiforums.com
Kwa hisani yenu naomba watu8 na ladyfurahia wawe viongozi wa shughuli hii
Naunga mkono hoja ila napendekeza tukuteue wewe au yeyote atakaependekezwa na JF aratibu hilo zoezi ili lengo la watakaoguswa kuchangia ujenzi wa choo litimie. Ni maoni yangu tu.
Kwa hisani yenu naomba watu8 na ladyfurahia wawe viongozi wa shughuli hii
Ningelisimamia vizuri kabisa zoezi hili, ila ni kwamba leo usiku nasafiri, narudi kazini kwangu Southern Sudan, na nitakuwepo kwa siku 35 ndipo nirudi tena homeNaunga mkono hoja ila napendekeza tukuteue wewe au yeyote atakaependekezwa na JF aratibu hilo zoezi ili lengo la watakaoguswa kuchangia ujenzi wa choo litimie. Ni maoni yangu tu.
Kwa hisani yenu naomba watu8 na ladyfurahia wawe viongozi wa shughuli hii
Hewaaaaaa..... naona ndio nilichokua namaanisha hapo juu. Binafsi sina kinyongo na uteuzi wako watoe tu namba za kutuma michango, na kutujulisha utaratibu unaendaje!
Kipenzi nashukuru kwa pendekezo lako la uratibu wa shughuli hii, naomba tu niombe uzuru kuwa sitaweza kuratibu jambo hili.
Natanguliza samahani!!
sasa baba wewe ukijitoa itakuwaje? wakati mwanao nakutegemea wewe