Wana mmu,
Ningependa kushare na nyinyi ishu hii ambayo kwa kiasi , Inaniumuza Kimawazo nina Girlfriend ambaye tumekubaliana Kuoana Mwanzoni mwa 2014, Sasa kitu kimoja ambacho hataki, Hataki kudate hata siku moja akidai mpaka tuoane, Hii inanipa wasiwasi sana, Nikijiuliza labda ana tatizo au, Na je nikisubiri mpaka huo muda ni nini atakua ananificha?
Kwenu Wadau@Himidini @Lara one Heaven Earth miss chagga
kwa mtazamo wangu ni vizuri kusubiliana mpaka muoane kiroho iko salama kama kweli huyo girlfriend lakini inategemea na msimamo wake wa kiroho je yuko vipi?