Wana MMU...kuku wa kienyeji na wakizungu mtamu ni yupi?

mshikachuma

JF-Expert Member
Dec 2, 2010
2,853
626
Wakienyenyi ni wale wa uswazi....makazi duni,maisha duni,siyo educated na hawana future yoyote.
Hawa....daladala,mlo mmoja,simu za mchina,kulundikana chumba kimoja na kupenda sherehe she
rehe nk.kwao ni mambo ya kawaida kwenye maisha Yao ya kila siku.

Wakizungu ni wale ambao at list....wanaishi kwenye makazi yaliyopimwa,maisha mazuri,wamesoma,
Wanakazi mzuri au bado wanasoma,wanafuture mzuri,na wako very active.
Hawa....private car,mlo Mara 3,cim original,maIpad,maGalaxy,maLed tv na super outing nk.ni kitu
cha kawaida kwenye Maisha Yao ya kila siku.

Note: hapa namaanisha kuku wa kienyeji wa kike na kiume ....na kuku wa kizungu wa kike na wakiume.

Swali kwa wakaka wa MMU...je nani ni mtamu na anayejua kupagawisha wakati unakula nyama yake?

Swali kwa wadada wa MMU...je unafikiri ni yupi kati ya hao 2 ambae unahisi anahisia kali na mzuri za
kuweza kusheanae nyama yako na wote mkatoka mmeshiba?

Ahsanteni
 
wewe ni wa wapi?
na unaulizia utamu gani? wa supu? nyama umbo ? au nini
 
Masistaa Duu wa sasa wanazidi kupanda chati huwezi juu yupi wa kigogo yupi wa masaki bitozi nyangeema anataka kuitwa 2pac...........

Kwasasa Ngoma Droo!! Chiza Brain.
 
Mmmmmmmmmmmmh! UTRATRAAAAA!!!

Mimi naona Kuku wa kienyeji watamu sanaaaa, im talking frm my sec school experiance, These guys are SUPER NICE, they treat you like a Queen, they care a lot. Afu cha kushangaza HAKUOMBI PESA YAKO HATAA! Na hata akipata kidogo anakupa chote, yeye anabaki hana. Hata familia zao wanakujali na kukuthamini, yaani wanakufurahia honestly. (Sio mama mkwe wangu haishi kumuuliza Mungu WHY!!!mwanae hajawaona watoto wa Lowahasa au Sumaye, hata Mwana Asha tu basi kama imeshindikana kabisa!!!!) Alafu kwenye yale mambo yetu yaleeee NI NOMAAAA!!!!!!! Tatizo lao INSECURITY!!! Kuhisi hisi tu kuwa utamucha au unamcheat. My guy wa kienyeji toka alipogundua SEMBE BUSINESS baaaaaaaass!!! Ana mbesa chafuuuu! Siwezi hata kumsogelea hatua meter 10. Utafikiri sio yule alikuwa ananisindikiza kwetu afu anarudi kwao huo umbali usipime.

Wa kizungu bana wako Civillized, yaaah! Cash aint a problem, ofcourse, Wana exposure for sure! Ila bana BIG EGO!!!!! Kama una roho nyepesi unasusa. Alafu wana element za kukutreat like a PROPERTY!(Value yako ina appreciate n ku depreciate) Ukinuna Anakupoza na mkwanja wa shopping, asipopiga simu, anakupoza na dinner! Kuappologise aint there style at all. Alafu TIME IS AN ISSUE for them, mda wa kukaka kubembelezana hakunaga! Sema ukiwa nao MONEY STRESS FREE RELATION IS ALL ABOUT. Sema ndo stress za ku meet expectations za friends, social class, family. Every thing you do, you do it to IMPRESS!!!!!!!!

In conclusion since nilipogundua HELA ZINAPATIKANA KWA JASHO na mimi shuruba sizipendi na kuamua Kama siwezi kutafuta za kwangu, au kukubali kutokuwa nazo haiwezekani bora nitafute Mdhamini wa Maonesho awe ananigea zake, aisee KUKU WA KIZUNGU NDO MPANGO MZIMA.
 
Wakienyeji ndo bomba maana wanajua kuvumilia shida hata kama hamna chakula siku anapita, ila hao wakisasa kukiwa hamna chakula basi wanahangaika sana na hatma yake kama ulikua umemnunua anatoroka na kurudi alipotoka.
 
Duuu, we Lara, you seem to know things much, kwanza ni Laura yupi wa songea au?
 
...utamu wa kuku ni upishi wako....na ili uweze kupika vyema maandalizi ya upishi..... Viungo....jinsi ya kupika jinsi utakavyopakua, na jinsi utakavyomwandaa mezani na jinsi utakavyomla..........
 
Lala 1....nimekupata vilivyo!
Ila Kongosho anajiuma uma tu hapa....sijui ana wote wawili
 
Duuu, we Lara, you seem to know things much, kwanza ni Laura yupi wa songea au?

Mimi sio Laura banaaaaa! Its simply Lara! Lara Mutoto ya Kinondoniii! Mutoto ya Jiji! Wimbo wa Khadija Kopa NALIJUA JIJI NA MATAA YAKE ukuburidishe jioni ya leo.
 
Wakienyeji ndo bomba maana wanajua kuvumilia shida hata kama hamna chakula siku anapita, ila hao wakisasa kukiwa hamna chakula basi wanahangaika sana na hatma yake kama ulikua umemnunua anatoroka na kurudi alipotoka.
Haijalishi utamfuga au utamchinja na kumla....tunataka kujua yupi ni magoli?
 
...utamu wa kuku ni upishi wako....na ili uweze kupika vyema maandalizi ya upishi..... Viungo....jinsi ya kupika jinsi utakavyopakua, na jinsi utakavyomwandaa mezani na jinsi utakavyomla..........
Yaah nakubaliana na wewe....lakini watu wengi wanasema hawa kuku 2 wametofautiana utamu. Je ni kweli?
 
Hivi ni kweli hizi habari za kusema kuwa unapomla kuku wa kienyeji anapiga kelele za utamu hadi unammaliza
wakati kuku wa kidhungu anakuachia ule mwenyewe na yeye anakuwa kwenye Novel au IPhone 4s?
 
Back
Top Bottom