Mpenzi...mi nawe tena si tulishamaliza...au unataka kubadili maana ya sentensi?
Chezea Jf weyee!
Basi hapa wote watajifanya wema! Wako real na hawapendi makuu! Teh teh teh!
Raha jipe mwenyewe!
Hata mkweche sina, lakini sitosita kujipraud when there needs to do so!
kama unakazi na bado mtoto wa mama ni uboya. Truth be told.
Bora mimi niko realy,sina hata baiskeli.
Nakaa ma wazazi wangu
Natumia katechno t526,Sina haja ya kujikweza kwani kuna watu humu wanapajua hadi home.
Bora mimi niko realy,sina hata baiskeli.
Nakaa ma wazazi wangu
Natumia katechno t526,Sina haja ya kujikweza kwani kuna watu humu wanapajua hadi home.
I miss cooo much .....raha tupeane ucijipe mwenyewe wakat Mimi Nipo uuuuuwiii
Kwa hiyo ukiwa na kazi ndo ukimbie kwenu? Nyie ndo mnaotelekeza wazazi wenu. Nitahama kwetu siku nitayoolewa au kwenda kufanya kazi mkoa mwingine. Vinginevyo sihamiiiiii, tena nshaghairi hata nikiolewa ntaenda na mama yangu.
Conclusively kila mtu na maisha yake, principle zako za maisha zinaweza zisiapply kwangu.....!
Nimekupenda bureee
ukigonga 30 utanielewa....
Naomba nikufahamishe Hilo ni jina langu halisi.....Ni kweli kabisa hatupendi ukweli, hata jina lako hapo juu ni la uongo, pia langu ni la uongo. Kujikweza ni fikra za kimaskini, wa-Tanzania wote ukihesabu vizazi vitatu kurudi nyuma utakuta walikuwa maskini. Kujikweza ni kujaribu kuficha umaskini tu.
huwezi jua mengine mkuu kama unataka kunifaham zaid unaweza ukanitafuta
Ongeza CV basi ina maana ugali haujui kupika? jaza jaza nyama basiOngea wewe, me kuna siku nlisema nakaa kwa bi Mkubwa kina jitu acha linichambe, eti ooh na umri huo bado unakaa kwa bi mkubwa....! Inamuhusu? Sijui alitaka niseme namiliki Villa?
Wengine hatujui kudanganya. Tena napanda daladala kwetu hatuna hata baskeli, halafu najua kupika chai tu na kuchemsha maji ya kuoga.
Huo ndo wasifu wangu.
Hahahahaaa!
Mimi nipo. mtoto mzuri hujambo weye?
uko wapi nijenikuchukue na Ferrari langu tukale banta?
Si unajua leo j2!