Wana MMU Bwana


Humu labda ni mie tu ambaye sina gari.
 
Hata Ukidanganya na hakuna anayekujua ni kwa faida ya nani??
 

Tangu nilivyokudanganya nina Harrier ukaja kukuta nina bajaji umeamua kuja kuweka tangazo humu... haya endelea Vaislay
 
Last edited by a moderator:
msi2sahau wazee wa ngondi..2po km kawa 2kiijenga nchi!
 
am real katika kila kitu that why naitwa b'real yani born real,BABA ANGU NI RASTER MAMA ANGU NI RASTER MI MWENYEWE RASTER KAMA UNAVYO NIONA HAPO NDO NILIVYO.NAVUTA SANA KAYAA,NAPENDA REGGE KULIKO PAPUCHI,NA DEMU MMOJA,NAISHI GHETO KITAMADUNI ZAIDI
 

Ni kweli kabisa, watu ni feki sana humu. Mimi tu ndio mkweli. Kingine nilichogundua ukiwa mkweli hubanjui wala hubanjuliwi humu ndani. Mimi toka nianze kupost sijapata hata wa kuni PM au kuomba urafiki, kwa sababu tu nimesema ukweli nafanya kazi kwa mhindi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…