Wana JF

Una uhakika imani yangu unaijua?
moz-screenshot-2.png

haihitaji degree hiyo....!
 
moz-screenshot-2.png

haihitaji degree hiyo....!
kwa bahati mbaya sana swali la bwana Rev liko nje kabisa ya imani yangu ..........bado una uhakika kuhusu imani yangu?
Halafu sasa ndio umenifungua macho...kumbe muda wote huu nasimangwa, tatizo ni hii avatar???!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kazi ipo ...Tanzania bila udini kweli itawezekana?????
 
tanzania haina udini.....
ndo maana kura yako ni kwa dk slaa,au vipi?
 
Una uhakika mkuu...Maana hapa hata hatujuani lakini avatar tu inawafanya watu wachanganyikiwe sasa tukionana itakuwaje???
 
mh... mgeni huyu balaa... yaani kila kitu yuko mzoefu, quoting, manjonjo nk... WHERE IS MS WHEN YOU NEED HIM??? you must be his identical twin
 
Kuwa mgeni JF haina maana ya kuwa mgeni kwenye cyber world. Ngoja nikunong'oneze kaka/dada, hizi forums zinatengenezwa kwa kutumia "frameworks" kwa hiyo kama forums mbili zimetengenezwa kwa kutumia "framework" ya aina moja inakuwa rahisi sana kwa mtu ambaye ni mwanachama wa mojawapo kuwa na uwezo wa kutumia nyingine. Nadhani kwa kiasi fulani roho yako itatulia sasa usije unguza keyboard bure ( Nina maana jina lako la Acid)....just kidding.
 
Thanks, Mie ni kaka!!

Ujumbe umefika na nakupongeza sana, maana leo tu ushapiga post 40, hii ndio ari zaidi, nguvu zaidi na kasi zaidi

BTW, unasapoti chama gani? CUF?
 
Hivi hili ni jukwaa la Braniac, Malaria sugu au la utambulisho?
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom