Wana JF

You are so fast my dear a.k.a MS.
I guess you can brand anyone any name you like,...after all you are free to post anything you like. I am not sure what is it that makes MS such a hot topic in this forums but FYI I have no idea who that is and if you will be kind enough enlighten me about him/her please.
 
Oups! Thank you Braniac! At least I am now sure you are not MS. He/She/ It can't write good stuff like this!

Karibu jamvini bana!:welcome:
 
I guess you can brand anyone any name you like,...after all you are free to post anything you like. I am not sure what is it that makes MS such a hot topic in this forums but FYI I have no idea who that is and if you will be kind enough enlighten me about him/her please.
yani kuingia na kuingia tayari ushakomaa na kuanza kupeana za uso na wenyeji??

Kweli mgeni huyu balaa
 
Inawezekana akawa mgeni-mwenyenyeji lakini hawezi kuwa MS! Take it from me, pal:confused2:
 
Yupo CUF ila kwa sasa anafanya kazi maalumu ya CCM!
Maelezo uliyonipa hayatoshi kumtambulisha huyo mtu.........Hivi unadhani kuna CUF wangap ambao wanaweza kuwa wanafanya kazi CCM. Mimi sio mwanasiasa siwezi jua. Ila hapo bado hujanisaidia kumjua MS.
 
Haya mkuu karibu sana! Chukua muda upitie sheria za JF na ikiwezekana wasiliana na Maxence Melo umpe kamchango!
 
Maelezo uliyonipa hayatoshi kumtambulisha huyo mtu.........Hivi unadhani kuna CUF wangap ambao wanaweza kuwa wanafanya kazi CCM. Mimi sio mwanasiasa siwezi jua. Ila hapo bado hujanisaidia kumjua MS.

Vipi, uko desperate kumjua?
 
yani kuingia na kuingia tayari ushakomaa na kuanza kupeana za uso na wenyeji??

Kweli mgeni huyu balaa
I thought the motto was "Where we dare to talk openly" !!!!!!!!!!!!!
:shocked: :shocked: :shocked: :shocked: :shocked: :shocked: :shocked:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom