Wana JF wana m- endorse Willy Malecela Mtera?

Unamzungumzia huyu aliyewahonga wabunge wampigiekura? Kama katoa rushwa kwa wabunge huko Mtera itakuwaje?
Nenda kwenye siredi ya Segerea uone wanavyomwambia "aende" Mtera akapambane na Lusinde, hata aliposhindwa ubunge wa Afrika Mashariki watu walimshadadia sana aende Mtera akalipe kisasi cha baba yake kushindwa na Lusinde.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom