The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,097
Halafu yule DJ alikuwa ana maslahi binafsi kwako na kwa FL maana zile nyimbo alizokuwa anapiga mmhhJamani guyz...........................sina la kusema zaidi ya aksante kwa kutukaribisha na kutufanya tujisikie tuko nyumbani na pia kutupokea na kutupa fursa ya kuwawakilisha wanaJF wa Dar na kwingineko ambao ni wazi wangependa kujumuika pamoja nasi. Kwa kweli sikuwa nimepata picha ya mapokezi hayo hasa ukizingatia tuliwasurprise tu ...............njia nzima nilikuwa na mashaka kama tutawakuta but alas to my shock it was awesome.....especially pale kaka Pakajimmy alipokutanishwa ghafla na Da Sophy pale Midway loh...................
Samahanini naombeni namba ya simu na jina la yule DJ................
hmethod ulikuwa makini kweli tusije tukaondoka na kondoo wa Arusha kuja nao Dar lakini hata hivyo logistic zinafanyikaNimekubali lazima utakuja na mambo mengi mapya......nakubaliana na wewe 100%
Hahaha kiongozi hii posted via mobile ni kwamba bado nipo ovyohovyo guest! Wahudumu wamenipa discount.ila naomba ukisha soma hii futa my WL asione.Kiongozi vp, mbona umekuwa mkimya ghafla, niaje chalii yangu wewe?
Halafu mbona unaposti 'via mobile', uko wapi?...unanitisha!
Mkuu,
Sote tulifurahi sana kufahamiana...was nice and cute!..
Thanx God mlifika salama, most welcome next time/.
Hahaha kiongozi hii posted via mobile ni kwamba bado nipo ovyohovyo guest! Wahudumu wamenipa discount.ila naomba ukisha soma hii futa my WL asione.
Upo? Lol nilikua namtania PJ! Mi niko zangu Church.oryt oryt
Kiongozi,
Watu wa hivyo waadabishe ili siku nyingine wakumbuke kuaga.
Ila mimi nashukuru walifanya hivyo, maana huenda wangekuaga ungezua migogoro ya kibabubabu...mara mgongo unaniuma nahitaji mtu karibu...mara miguu inachoma, abaki mtu wa kuninyanyua, na vitu kama hivyo..
Ni bora hawakukuaga!
Kimey mhudumu wa ovyo ovyo guest house anasema urudishe funguo za chumba namba 7 ili afanye usafiUpo? Lol nilikua namtania PJ! Mi niko zangu Church.
Ha ha ha Arusha lazima kurudi bana! Soma kati ya mistari hapo![/QUOTE]Nyama choma kwa wingiii najua watu wa dar watazitamani na watarudi tena Arusha hasa Kimey!
Duh! Hiyo ndio slogan mpya ya 2011Hapo kwenye RED ni sawa ila huo utetezi mwingine not acceptable..Babu hakimbiwi hata siku moja.
Hata hivyo subiri revenge yangu..itakuwa zali la mentali hadi wajukuu watajua kuwa mimi ni babu yao!
Duh! Hiyo ndio slogan mpya ya 2011
Ha ha ha Arusha lazima kurudi bana! Soma kati ya mistari hapo!
Mhhh,
Hao watu wa Dar waliozoea nyama za kuchakachua hawakukumbwa na kasheshe ya mafuta? Nasubiri wataalamu wasema kama hakuna case ya steatorrhea walau moja.. Kama imetokea sasa hiyo itakuwa ni kesi kwa PJ!
Ha ha ha ha ngoja niwaambie wajukuu wakuongezee ugoroSlogan ipi sasa na wewe? Au unataka kuleta utani kwa babu?
Mkuu,
Hakuna kesi kwa PJ wala kamati yake ya UFUNDI.
Steatorrhea ingekuwepo tayari ningeshapata feedback kufikia leo, si unajua hairembi ile eeh?...LAKINI ni kwamba watu waliendelea na mzigo na wengine walisafiri huku njiani wakiendeleza libeneke kwa raha zao...!😛arty:
Mkuu mambo yalikuwa yamepangika bana...
Hiyo revenge yako usipokuwa makini unaweza ukabwagwa mbaya!
Ha ha ha ha ngoja niwaambie wajukuu wakuongezee ugoro
Kwa kweli ilikuwa ni fwantastic, Maty where are you?
hmethod ulikuwa makini kweli tusije tukaondoka na kondoo wa Arusha kuja nao Dar lakini hata hivyo logistic zinafanyika
Watoto wa Rchuga mmechangamka....mshakula majani naona...
Wewe nae uko kimya mno...au kwa vile SaharaVoice alihama na ile sahani yako ya BABERQUE?Habari ake saharavoice bana!!!!
Ha ha ha haEndelea tu na logistics zako lakini nakushauri uni-consult maana manzi za Arusha zinaweza kukuuzia mbuzi kwenye gunia! :smilez:
Next time tutumie helkopta maana wale tembo, mmhh
Sure mtu wangu wale tembo hawapo friendly kabisa bora kutumia helicopter chalii wangu!