Wana JF wa Tabora

ThinkPad

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
1,844
232
Wanajamii ninakama siku nne hapa mjini Tabora yaani nshaboeka na kazi ndio ipo nusu, ningependa kujua maeneo mbali mbali ninayoweza tembelea nikiwa hapa tabora ili nisiboeke.
mfano: Sehemu za makumbusho ya kihistoria (Tourist attractive), sehemu ya kula msosi bomba wa kitabora na sehemu ya kutembelea jioni.

Aksanteni.
 
wanaTabora jaman hv ndo kusema hamjamuona ThinkPad achen roho mbaya. hata km haupo Tbr unaweza kumdirect maeneo ya kujidai lol. mwaego ThinkPad chat na mie ucboreke. . . .
 
Nitakutafuta basi twende zetu Ushirombo kutembea ..huwezi kuboreka kamwe ..
Jioni bajeti ya chakula kwangu Ugali na Nswalu..be prepared
 
wanaTabora jaman hv ndo kusema hamjamuona ThinkPad achen roho mbaya. hata km haupo Tbr unaweza kumdirect maeneo ya kujidai lol. mwaego ThinkPad chat na mie ucboreke. . . .

CG waache watukuja angazangu mbona nitawapoteza
 
We kanunue tu asali..cjajua kingine kizuri uko.

Dah! yaani wewe umeona asali tu hii noma ngoja nirudi kwetu nilipozoea. Naskia huku kuna livingston ila sijajua ni wapi na umbali gani yaani full balaa.
 
Wanajamii ninakama siku nne hapa mjini Tabora yaani nshaboeka na kazi ndio ipo nusu, ningependa kujua maeneo mbali mbali ninayoweza tembelea nikiwa hapa tabora ili nisiboeke.
mfano: Sehemu za makumbusho ya kihistoria (Tourist attractive), sehemu ya kula msosi bomba wa kitabora na sehemu ya kutembelea jioni.

Aksanteni.

ningekushauri uende uhadhili pale, kuna kila kitu kwa ajili ya afya yko.. ukiwa apo nahisi hutaboreka.!!! na ucache kufika bubles mida ya nyt
 
juniour. Cux, naona huna nia nzur kbisa. unamwambia aende uhazili humtakii mema,pale kuna contena la mama salma. tucje mkosa jijini weee! ThinkPad mwaya ucende bdo twakuhitaji. we cha kufanya kaa hapa Jf hutaboreka!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:

jaman mi c nmemwambia akakae tu kwa afya ya macho yake ye akizidisha mi cmo.. hapa uzushi kuna vitu vingine hutapata
 
Last edited by a moderator:
Wanajamii ninakama siku nne hapa mjini Tabora yaani nshaboeka na kazi ndio ipo nusu, ningependa kujua maeneo mbali mbali ninayoweza tembelea nikiwa hapa tabora ili nisiboeke.
mfano: Sehemu za makumbusho ya kihistoria (Tourist attractive), sehemu ya kula msosi bomba wa kitabora na sehemu ya kutembelea jioni.

Aksanteni.

Karibu sana Tbr a.k.a Mboka. Ukitaka kusali Msikitini/kanisani ni umbali wa kutembea chini ya dkk 10 popote ulipo ndani ya manispaa hii ya Tbr. Tabora hakuna sehemu zaidi ya 5 zilizo na ubora sana za kutokea. Hivyo basi chakula cha asili unaweza unaweza kukipata Tabora Hotel ingawa kuna siku maalumu ya vyakula vya asili siyo kila siku, j'mosi nenda mnadani kuanzia saa 6 lazima ushangae utaona kitu hujawahi ona sehemu nyingine hapa Tz, j'2 mchana kapate k'moto pale Nbc club ukifika baada ya saa 7 hupati kitu, sehemu za utalii nenda Kwihala 4km kutoka Tbr mjini, kama mpenzi wa ngono Tbr ndio mwake, tembelea maeneo yaliyopo karibu na chuo cha utumishi wa umma (UHAZILI) Kama vile Zero, las-vegas au nbc club. Seheu hizi zina wasichana na wanaume wengi ambao wapo tayari kwa ngono. Ukitaka kampani ni pm kama wewe ni mtu mke.
 
Asante sana,

Nilikuwa naitafuta hiyo Kwihala, Pengine ntaenda jpili NBC club nikatembee kidogo.
Totoz NO.]
Ngoja nikupe like ndio size yako.
 
mh! Nina wasi wasi na wewe, yaani unasema NO kwa Nyamwezi Gals? Sema ukweli wako, unawaonaje nyamwezi gals?
 
TOTOZ NO"...
mshamwambia kuna watoto wa mama salma......
chezea mdudu/ngoma weeeee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom