Hahahaha nambie Sabab kwanzaila mimi natamani nifahamiane na wewe,sijui kwanini?
Sema utampeleka ununio au pale karibu na makumbusho ukamtibu kidogoUtalala korokoroni leo ujue?
Hahahahahaha.....usihofu mkuu, ni kwa nia njema tu mkuuWe jamaa tumeshaigundua mbinu yako ya kimafia, yaani huku wamejaa wao tu na majina yao ya bandia, tumeshakustukia, kuna MTU anataka kujiunga kitengoni, mwambie afanyeje!!!yeye nadhani atakutafuata umfahamu vizuri!!ha ha ha ila huu Uzi unafurahisha, huku JF ni kwa wenye ujuvi wa mambo, na wajuvi wenyewe ni kama ninyi ha ha, au nimekosea mkuu
Haya mkuu, Mimi nipo kwenye hapa mnazi mmoja nagombania dirisha LA gari za tandika niende zangu kwa mparange huku, huku karibu uburudike na vibanda umiza ha ha haHahahahahaha.....usihofu mkuu, ni kwa nia njema tu mkuu
UlidanganywaMi nilijua JF hadi wanafunzi wanamiliki magari tinted na biashara heavy heavy,nyie wa daladala na mwendokasi mmetoka wapi humu? Anyway,nawapungia from my tinted old Avon bicycle...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nakuona hapo umeuchapaMimi ni riafande aisee nipo pembeni ya mataa hapa napiga mabao nna tumbo kubwaaaa kwa sababu ya rushwa..... Ukiniona punga mkono
Niko sebuleni kwetu hapa Mbeshi Mushakuli Dsm.Nani yuko kitaa hich?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nakuona hapo umeuchapa
Miss sana wewPacha nimekupungia mkono hivi umeniona. [emoji85]
Mi pia ujue. Za wewe?Miss sana wew