Wana jf tulio jirani tupungiane mikono

Wana jf tulio jirani tupungiane mikono

nimekupungia mkono umeniona? nipo kwenye mwendokasi hapa siti ya katikati
Kumbe wewe jamaa ni kadogo hivo halafu mfupi wakati huku unatutolea post za kibabe sana ngoja tukishuka nakupa makonde mimi nimekaa pembeni yako hapa
 
[emoji112] [emoji112] [emoji112] kuna alieniona? Nipo kariakoo duka la urembo.
 
Mmmmh! Hii mbinu mpya ya kupelekana kusikojulikana eeeh? Tuacheni jmn
 
Huu ni Uzi maalum kwa wana jf ambao watakuwa jirani jirani katika maeneo mbalimbali hapa tz na nje ya nchi.

Iko hivi unasema ulipo then unasema kama kuna mwana jf yeyote apunge mkono na wewe umpungie pia kama ukimuona.

Ni katika kufahamiana na kukuza undugu wetu.

Mimi nipo kwa daladala kuelekea makumbusho, nipo siti ya myuma nimevaa kofia...ukiniona punga mkono...
imenibidi nicheke tu,watu mmevurugwa hakika,mungu mtu ndio kwanza anamaliza mwaka wa pili tu,bado mingine nane kama tusipokuwa makini..
 
Kumbe wewe jamaa ni kadogo hivo halafu mfupi wakati huku unatutolea post za kibabe sana ngoja tukishuka nakupa makonde mimi nimekaa pembeni yako hapa
Aahh nimekuona umevaa shati ya CCM bonge la mtu. ndo mimi boss udogo wangu si hoja
 
Umeandika vizuri ila hapo kwenye kupungiana mikono kamwe siwezi utanisamehe ndugu.
 
Screen Shot 2017-10-04 at 12.38.23 PM.png

cc: mahondaw
 
Nipo na baiskeli yangu ya phoenix nipotoka kukata majani ya mbuzi mkoan huku... Aliyeniona anipungie ntapiga kengele!
 
Niko kwenye boda boda apa nnapuwa kubwa hivi umeniona APA ubungo mataa
 
Huu ni Uzi maalum kwa wana jf ambao watakuwa jirani jirani katika maeneo mbalimbali hapa tz na nje ya nchi.

Iko hivi unasema ulipo then unasema kama kuna mwana jf yeyote apunge mkono na wewe umpungie pia kama ukimuona.

Ni katika kufahamiana na kukuza undugu wetu.

Mimi nipo kwa daladala kuelekea makumbusho, nipo siti ya myuma nimevaa kofia...ukiniona punga mkono...
We jamaa tumeshaigundua mbinu yako ya kimafia, yaani huku wamejaa wao tu na majina yao ya bandia, tumeshakustukia, kuna MTU anataka kujiunga kitengoni, mwambie afanyeje!!!yeye nadhani atakutafuata umfahamu vizuri!!ha ha ha ila huu Uzi unafurahisha, huku JF ni kwa wenye ujuvi wa mambo, na wajuvi wenyewe ni kama ninyi ha ha, au nimekosea mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom