Wana jf tulio jirani tupungiane mikono

Wana jf tulio jirani tupungiane mikono

Socw

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2016
Posts
1,385
Reaction score
2,850
Huu ni Uzi maalum kwa wana jf ambao watakuwa jirani jirani katika maeneo mbalimbali hapa tz na nje ya nchi.

Iko hivi unasema ulipo then unasema kama kuna mwana jf yeyote apunge mkono na wewe umpungie pia kama ukimuona.

Ni katika kufahamiana na kukuza undugu wetu.

Mimi nipo kwa daladala kuelekea makumbusho, nipo siti ya myuma nimevaa kofia...ukiniona punga mkono...
 
ha ha ha ... funny ... sasa hawa jamaa huku hawataki fahamika tukinyosheana mikono si inakuwa balaa aisee?
Hahahaha ukitaka ugomvi na watu wa hapa sema mfahamiane teheheh bonge ya mtihani kweli kweli
 
Huu ni Uzi maalum kwa wana jf ambao watakuwa jirani jirani katika maeneo mbalimbali hapa tz na nje ya nchi.

Iko hivi unasema ulipo then unasema kama kuna mwana jf yeyote apunge mkono na wewe umpungie pia kama ukimuona.

Ni katika kufahamiana na kukuza undugu wetu.

Mimi nipo kwa daladala kuelekea makumbusho, nipo siti ya myuma nimevaa kofia...ukiniona punga mkono...
Nimekecha sn
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom