Wana JF, nifanyeje ku-recover folders and files kwenye computer? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wana JF, nifanyeje ku-recover folders and files kwenye computer?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Silas Haki, Mar 27, 2011.

 1. Silas Haki

  Silas Haki JF-Expert Member

  #1
  Mar 27, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 368
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kwanza napenda kutoa pongezi kwa wana JF kwa kutokuwa wachoyo wa kupeana ujuzi hasa new technology.
  Juzi nililazimika ku-format computer (laptop) yangu baada ya Spyware kuingia kwenye programs na kuzi-block na hivyo nimepoteza mafaili yangu ya muhimu sana. Je, kuna njia au namna ya kufanya ili ku-recover baadhi ya data zangu? Naomba msaada wa kitaalam wadau.
   
 2. P

  Paul S.S Verified User

  #2
  Mar 27, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mkuu ukiformat sidhani kama unaweza kuricover mafile yako, any way mimi sio mtaalamu ngoja watakuja wenyewe, si unajua tena leo jpili wengi hawapo online hadi kesho jtatu
   
 3. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #3
  Mar 27, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Tafuta file recovering software, zitakusaidia kurejesha file (Data) zako. just googling online...!
   
 4. Michael Paul

  Michael Paul Verified User

  #4
  Mar 27, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 379
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 60
  Google software iitwayo recover ma files... Ni kasoftware kadogo tu... But katakuwezesha kupata all your files... Whether uliformat or ulidelete..
  Kamenisaidia sana...
  peace, love & blessings...
   
 5. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #5
  Mar 27, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
 6. Silas Haki

  Silas Haki JF-Expert Member

  #6
  Mar 28, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 368
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hii software ni nzuri nimeona inaweza ku-recover mafaili lakini mwishoni inanitaka kununua activation key online, je nifanyeje na mimi sina credit card ya kuweza kununulia vitu kwenye mtandao?
   
 7. lm317

  lm317 JF-Expert Member

  #7
  Mar 28, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 452
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ulipoformat ulitakaje?
  Apandacho mtu ndicho avunacho!
  Ungeomba ushauri mwanzo kabla hujafanya lolote labda huyo kirusi angetenguliwa kiuno kiurahisi na mafaili yako yote yangekuwa salama.
   
 8. Silas Haki

  Silas Haki JF-Expert Member

  #8
  Mar 28, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 368
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Maneno yako hayajengi, hapa kwenye JF tunachotaka ni kuongezeana na kubadilishana ujuzi. Kuna wataalamu wazuri tu wa IT na tayari wameshatoa mchango ambao mimi naona unaweza kumsaidia mtu yoyote.
   
 9. Silas Haki

  Silas Haki JF-Expert Member

  #9
  Mar 28, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 368
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nimekupata mkuu, nalifanyia kazi wazo lako.
   
 10. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #10
  Mar 28, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Silas
  siku nyingine ukipata tatizo kama hil usikikimbilie kuformat . Na mtaalam anayekupa suluisho la kuformat kwanza bila kujaribu option nyingine muogope kama ukoma......

  Ungerahisisha kazi kama wakati ime corrupt ungetoa HDD ya laptop na kwenda kuipachika kwenye computer/laptop nyingine . Data zako ungezipata kirahisi kisha ukaformat, maana hiyo HDD ingeonekana kama external drive. Virus alichofanya ni corrupt OS tu . Hakukuwa na haja ya kuformat.

  Sasa umeformat kazi uliyonayo ni kubwa zaidi.

  Always use format is a last option. Wengi wanapenda fortting sababu ni easy but consequnces zake....... Na hata mafundi wasiopenda kuumiza vichwa ndo zao kama end user tu
   
 11. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #11
  Mar 28, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Kasome saini ya Invisible mara tatu, yaani kwa kurudia rudia. Kisha ipime akili yako based on that.
   
 12. M

  Mayu JF-Expert Member

  #12
  Mar 28, 2011
  Joined: May 11, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Wataalamu hebu tupeni black and white kuhusu hili la kuformat na kuricover file baada ya kuformat.
  Mtaalamu mmoja aliniambia eti ukiformat maana yake umefuta kilakitu na inabaki empty kama ilivyotoka kiwandani, so hakuna chance ya kuricover file zako. ni file zilizo kuwa deleted ndio zinaweza kuwa recoved au zilizo liwa na virus.
  Na hata ukidelete file zako kisha ujebkuformat maana yake ni kuwa ulipo format ulifuta trace zote za kukuwezesha kurecover data zako
  Naombeni ujuzi wenu kuhusu hili maana kama alivyosema Zing mafundi wa kibongo kwa kuformat ndio wenyewe
   
 13. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #13
  Mar 28, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,403
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  Jitahidi kutafuta anti virus nzuri ili kuzuia spyware next time.
   
 14. Silas Haki

  Silas Haki JF-Expert Member

  #14
  Mar 28, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 368
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nimekupata, ushauri wako ni mzuri sana
   
 15. Paw

  Paw Content Manager Staff Member

  #15
  Mar 28, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 2,032
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  We are here to help. Send PM
   
 16. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #16
  Mar 28, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Sio kweli kwamba ukiformat hdd unafuta kila kitu na hdd ina kuwa mpya kama ulivyoitoa kiwandani, ukiformat unafunika tu hayo mafaili, na ukipata program nzuri unauwezo wa kuyafunua na yakasomeka.

  Kufuta completely kunaitwa "ERASE" hii huwezi pata kitu chochote, hdd inakuwa mpya!!

  KWA ULIYEFORMAT HDD UKIFANIKIWA KUPATA PROGRAM YA KURECOVER FILES ZAKO FANYIA HDD YA PARTION ILI NEXT TIME YASIKUKUTE TENA, e.i files zako zote weka drive D
   
 17. N

  Nondo Member

  #17
  Mar 28, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Nadhani ni vizuri tukawa tunapendelea kuzifanyia partion Harddisk zetu i.e C and D. OS unaiweka kwenye partion C na data zako unaziweka kwenye partion D, ili siku nyingine ikisumbua uformat partion C tu, na data zako zitaendelea kuwa kwenye partion D.
   
 18. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #18
  Mar 28, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Hapo kwenye red, ulikuwa unamaanisha PARTITION C au linasomeka kama lilivyo?

  BTW,ushauri wako ni mzuri nimeupenda. Kutokujua ndiko kunakotufanya tunaharibu sana documents zetu.
   
 19. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #19
  Mar 28, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Mkuu njia nzuri na salama ya kupoteza Data za kwenye Computer zako na mtu mwingine hasiweze kuzipata tena (recover) ni kutoa HDD nje ya computer yako, kisha kuiweka juu ya kitu kigumu kama jiwe au juu ya kibaraza na kuibamiza na nyundo ya kilo tano kama mara kumi na tano hivi, I mean una hakikisha imesambaratika vipande vipande, hapo ndipo utalala usingizi mzuri kabisa kwa sababu hakuna narudia tena hakuna mtaalam yeyote hatakaye weza kuzirejesha data kutoka kweny hiyo HDD yako.
   
 20. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #20
  Mar 28, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Tatizo linakuja ni kwamba ali format alafu amefanya installation na bado anaendela kufanya mambo mengine na kusave file mpya.

  Sasa may be file XYZ la hapo zamani analotaka kufufua likuwa katika HDD memory space 123.. OK uki format tu unakuwa umefuta link ya OS kwenda kwenye location ilipo ile file ambayo ni 123. Si kazi sana kupata mafile kama HDD imekuwa formated tu.

  Lakini sasa ameformat na amefanya intallation. Vipi kama sasa hivi ile memory Adress ya 123 imeshachulikwa na program ya microsot office au application nyingine aliyofanya baada ya kuformat.

  Tatizo ni kwamba ukiformat data zinakuwepo lakini unakuwa inaimabia OS inaweza kuandika data sehemu yeyote ile. So kuna data mabazo hawezi kupata sababu nafasi yake imeshachuliwa na mambo mengi . kama kuzipata itacost sana muda na kupata softwareya nguvu sana.


  • It is hard but possible kupata data baada ya kuformat tu

  • It is harder but possible too kupata baadhi ya data baada ya kuformat na kufanya installation ya OS na application nyingine.

  So kama bado ana wazo la kufufuaa data zake may be astop kabisa kutumia hiyo latop ili zile storage space ambzo bado hazijachukuliwa na mambo mapya labda zinaweza kupatikana.

  Soma pia maelezo kama haya http://www.easeus.com/datarecoverywizard/recover-formatted-partition.htm

  unaweza kuipata a kujaribu hiyo sofware hapa http://thepiratebay.org/torrent/5092440/EASEUS_Data_Recovery_Wizard_Professional_4.3.6_%28Retail%29_%5BRH%5D
  Tatizo watu tunaamian article tunazosoma online. Sio rahisi kihivyow watu wanvyodahani . na wengi hawajajaribu wanaamin tu kile wanachosoma.

  Another advice weka copy ya data zako muhimu online pia kama backup. It is safe kwa secure backup . Tembelea google docs docs.google.com/

  Tupe feedback itakuwa vizuri tuweke kwenye record zetu if it worked

  NB
  ukipenda nikufanyie kazi hiyo nitakucharge kwa saa. Nadhani itachukua about 5-6 hours .though sigurantee kufanikiwa . Unalipia effort sio output. teh teh teh teh. na one hour ni 5,000 tu kwa mtanzania mwenzangu. teh teh teh teh
   
Loading...